Habari za Mastaa

Burna boy, Wizkid na Diamond kipengele kimoja Afrima 2021

on

NI Headlines za waandaji wa tuzo za All Africa Music Awards, Afrima 2021 ambapo time hii wametaja majina ya wasanii wakaowania tuzo hizo.

Na Good news ni kwamba  Tanzania tumepata wawakilishi wengi sana akiwemo Diamond Platnumz , Zuchu pamoja na Rayvanny, Dj Sinyorita, Darassa, Nandy, Director Kenny, Rosa Ree, Producer Lizer, Alikiba na Harmonize

Sasa miongoni mwa vipengele ambavyo watu wengi wanatamani kuvifahamu ni hiki cha Artist of the Year yaani msanii bora wa mwaka pamoja na Song of the year (Wimbo bora wa Mwaka).

Katika kipengele hiki Diamond Platnumz, Wizkid na Burna Boy wametajwa kuwania tuzo hiyo.

ARTISTE OF THE YEAR 

1.Aya NakamuraMali

2.Blaq Diamond South Africa

3.Burnaboy Nigeria  

4.Davido Nigeria

5.Diamond Platnumz Tanzania  

6.Fally Ipupa DR Congo

7.Focalistic South Africa

8.Makhadzi South Africa

9.MHD Guinea

10.Omah LayNigeria

11.WizKid Nigeria 

SONG OF THE YEAR
Name of Artiste Track title Country
Blaq Diamond SummerYoMuthi South Africa
Davido FEM Nigeria
Diamond Platnumz (feat. Koffi Olomide) Waah Tanzania
Dj Tarico(feat. Burna Boy, Preck & Nelson) Yaba buluku (remix) Mozambique
Focalistic[Feat. Davido & Vigro Deep] Ke Star [Remix] South Africa
Olakira(feat. Davido) In my Maserati (remix) Nigeria
Olamide (feat. Omah Lay) Infinity Nigeria
Patoranking Abule Nigeria
Rayvanny(feat. Zuchu) Number One Tanzania
Remy Adan Le Gout De Ivory Coast
WizKid(ft. Tems) Essence Nigeria

Mpaka sasa wasanii wanaoongoza kushiriki katika vipengele mbalimbali ni Focalistic (7), huku BlackqDiamond akiongoza katika vipengele (8), Diamond Platnumz Vipengele (6) na Wizkid vipengele (6).

Diamond , Wizkid, Davido, & Burna Boy wanatajwa katika vipengele viwili ambavyo ni Song of the Year na Artist of the Year.

 

Soma na hizi

Tupia Comments