Habari za Mastaa

Burudani ya mastaa wa Bongo Fleva Ikulu kwenye uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19

on

NI July 28, 2021 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa chanjo ya Uviko 19 katika viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Sasa hapa nimekusogezea ujionee namna wasanii kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Flevani walivyoimba wimbo wao maalumu kwaajili ya kuamasisha watanzania kujikinga na Covid-19 (Corona).

LIVE: RAIS SAMIA AKIHUTUBIA “LEO TUNAZINDUA CHANJO, IDADI ILIYOKUJA NI NDOGO CHANJO NI IHARI YA MTU”

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments