Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rais wa Burundi amesaini rasmi kuiondoa nchi hiyo katika Mahakama ya ICC
Share
Notification Show More
Latest News
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Live: Rais Samia akiwasalimia Wananchi wa Makambako
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Rais wa Burundi amesaini rasmi kuiondoa nchi hiyo katika Mahakama ya ICC
Mix

Rais wa Burundi amesaini rasmi kuiondoa nchi hiyo katika Mahakama ya ICC

October 19, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya Serikali ya Burundi kutoa taarifa ya kutaka kujiondoa kwenye Mahakama ya makosa ya jinai ICC, Hatimaye imetoka Ripoti kuhusu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kusaini mkataba wa kuiondoa nchi yake katika Makahama ya Kimataifa ya Jinai ICC.

burundi-icc_0

Kutiwa saini mkataba huo na Rais Nkurunziza kunamaanisha kujiondoa taifa la Burundi katika mkataba wa Roma ambao ndio uliunda mahakama hiyo ya jinai. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, awali tarehe 12 ya mwezi huu bunge la Burundi lilipasisha muswada wa kujiondoa nchi hiyo kutoka mahakama ya ICC.

Itakumbukwa kuwa Burundi ilitia saini mkataba wa Roma mwezi Januari mwaka 1999 huku ikiupashisha mnamo mwaka 2004. Aidha hatua hiyo ya Rais Nkurunziza hapo jana, inaifanya Burundi kuwa nchi ya kwanza kujiondoa kwenye mahakama hiyo.

Serikali ya Bujumbura inaituhumu Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuwa ya kisiasa na ambayo ipo kwa ajili ya kuzikandamiza nchi za Kiafrika pekee.

Mbali na Burundi, nchi kadhaa za Kiafrika zimetishia kujiondoa kwenye mahakama hiyo kutokana na hatua yake ya kuendelea kuwasakama viongozi wa nchi za bara hilo, huku ikifumbia macho jinai zinazofanywa na mataifa waitifaki wa Magharibi. 

ULIPITWA NA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO OCTOBER 19? NIMEYAWEKA HAPA 

You Might Also Like

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam

Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu

Kampuni ya PAET imewekeza Dola Milioni 70 uendelezaji gesi

TAGGED: BURUNDI
Admin October 19, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article ‘Scorpion’ anayetumiwa kumtoboa macho Said alivyopandishwa kizimbani leo
Next Article VIDEO: Flora Mvungi kaitaja kashfa ambayo hatoisahau maishani mwake…
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

August 11, 2022
Top Stories

Live: Rais Samia akiwasalimia Wananchi wa Makambako

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?