Top Stories

Burundi na Tanzania kuanza ujenzi wa reli, Waziri Mwigulu na Mbalawa waweka Makubaliano

on

Tanzania na Burundi zimesaini mkataba wa makubaliano ya awali ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa Reli ya kisasa kutoka Uvinza Mkoani Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi wenye lengo la kuimarisha ya hali ya kiuchumi baina ya nchi hizo.

BABA ABAKA MTOTO WAKE WA KUMZAA “NI MWANAFUNZI DARASA LA 7”

Soma na hizi

Tupia Comments