Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Burundi imeamua kusitisha ushirikiano wake na UN kuhusu Haki za Binadamu
Share
Notification Show More
Latest News
Zoleka Mandela afariki dunia…
September 26, 2023
Ukraine inasema maafifa 34 waliuawa katika shambulio la kombora la Ukraine
September 26, 2023
Dr. Kyogo awafunda maofisa wanafunzi,awapa mbinu ya kupunguza malalamiko katika jamii
September 26, 2023
Korea Kusini kufanya gwaride la kwanza la kijeshi baada ya kipindi cha miaka 10
September 26, 2023
Ifikapo June mwakani vijiji vyoye vitakuwa na umeme.
September 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Burundi imeamua kusitisha ushirikiano wake na UN kuhusu Haki za Binadamu
Mix

Burundi imeamua kusitisha ushirikiano wake na UN kuhusu Haki za Binadamu

October 12, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Jumanne ya October 11, 2016 Nchi ya Burundi imezimiliki headlines nzito baada ya serikali ya nchi hiyo kuchukua uamuzi wa kusitisha ushirikiano wake na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu, kwa kile inachodai kuwa ofisi hiyo imekuwa ikiihujumu serikali yake wakati wa kuandaa ripoti ya Uchunguzi Huru wa Umoja wa Mataifa (EINUB).

>>>Kufuatia njama ya Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu nchini Burundi, katika maandalizi ya ripoti ya uongo na yenye utata ya Wataalam wanaodaiwa kufanya Uchunguzi Huru wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi (EINUB), Serikali ya Burundi imeamua kusitisha ushirikiano wowote na kushirikiana katika miundo yake yote, pamoja na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binanadamu hadi itakapotangazwa tena:- Imesema taarifa hiyo

Maneno haya yameonekana kwenye tangazo lililosainiwa Jumanne hii Oktoba 11, 2016 na Philippe Nzobonariba, ambaye ni katibu na Msemaji wa serikali. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uamuzi huo uliripotiwa muda ambao maofisa wake wakiwa kwenye kikao cha kazi pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Burundi Alain Aimé Nyamitwe, Jumatatu ya Oktoba 10, 2016.

>>>Kwa maana hii, Burundi inaomba kwa kusubiri, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu kuteua timu itakayoendesha mazungumzo kuhusu makubaliano ya makao makuu, ambayo yataweka wazi majukumu yake, muda na idadi ya wafanyakazi wake nchini Burundi:- Imeongeza taarifa hiyo.

https://www.hrw.org/sites/default/files/styles/open_graph/public/multimedia_images_2016/screen_shot_2016-02-24_at_6.25.56_pm.png?itok=Yi0wsgiR

Uamuzi huu unakuja baada ya maandamano mjini Bujumbura mwishoni mwa wiki iliyopita mbele ya makao makuu ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu ambapo waandamanaji waliomba ofisi hiyo kufungwa haraka iwezekanavyo.

Ripoti ya EINUB ilikuwa chanzo cha azimio la HRC33 lililochukuliwa na Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu ambalo linaomba kuundwa kwa Tume ya Kimataifa ya Uchunguzi wa ukiukaji wa haki zabinadammu nchini Burundi. Azimio ambalo lilikataliwa na serikali ya Burundi, ambayo inautuhumu Umoja wa Ulaya kuwa imeandaa na kupanga njama dhidi yake.

ULIPITWA MUONEKANO WA MAJENGO MAPYA YA HOSPITALI YA MUHIMBILI YATAKAYOTUMIKA NA CHUO CHA MUHAS

You Might Also Like

Mkutano wa IAWP New Zealand wafungwa, CP Kaganda awakaribisha Wajumbe Tanzania

EWURA kutokomeza mafuta ya makopo vijijini

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

Rais Samia azindua ujenzi wa soko la Kizimkazi

TAGGED: BURUNDI
Admin October 12, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Sentensi 8 za Meneja wa Diamond baada ya kudaiwa alimzimia Mic Alikiba
Next Article PICHA: Real Madrid walivyoandaa zaidi ya Tsh bilioni 950 kwa ajili ya uwanja wao
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Zoleka Mandela afariki dunia…
Top Stories September 26, 2023
Ukraine inasema maafifa 34 waliuawa katika shambulio la kombora la Ukraine
Top Stories September 26, 2023
Dr. Kyogo awafunda maofisa wanafunzi,awapa mbinu ya kupunguza malalamiko katika jamii
Top Stories September 26, 2023
Korea Kusini kufanya gwaride la kwanza la kijeshi baada ya kipindi cha miaka 10
Top Stories September 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Zoleka Mandela afariki dunia…

September 26, 2023
Top Stories

Ukraine inasema maafifa 34 waliuawa katika shambulio la kombora la Ukraine

September 26, 2023
Top Stories

Dr. Kyogo awafunda maofisa wanafunzi,awapa mbinu ya kupunguza malalamiko katika jamii

September 26, 2023
Top Stories

Ifikapo June mwakani vijiji vyoye vitakuwa na umeme.

September 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?