Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: KENYA: Rais Kenyatta kumkatia rufaa Mgombea aliyeruhusiwa na Mahakama
Share
Notification Show More
Latest News
Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5
May 30, 2023
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > KENYA: Rais Kenyatta kumkatia rufaa Mgombea aliyeruhusiwa na Mahakama
Top Stories

KENYA: Rais Kenyatta kumkatia rufaa Mgombea aliyeruhusiwa na Mahakama

October 11, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

RAIS Uhuru Kenyatta amesema anakusudia kukata rufaa maamuzi ya Mahakama Kuu ya kumjumuisha Ekuro Aukot katika kinyang’anyiro cha Urais katika uchaguzi wa marudio.

Kupitia kwa Mwanasheria wake Tom Macharia, Rais Kenyatta aliiambia Mahakama kuwa anakusudia kwenda kwenye Mahakama ya Rufaa Jumatatu ijayo.

Hatua hiyo inakuja baada ya maombi katika hukumu ya Mahakama Kuu kumruhusu Dr. Aukot kugombea Urais kutangazwa na Justice John Mativo.

Jumatano, Justice Mativo alisema kuwa Dr. Aukot lazima ajumuishwe kwenye uchaguzi wa marudio ambao umepangwa kufanyika October 26, 2017.

Mahakama ilikwenda mbali zaidi kuieleza Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka kurekebisha katika maandalizi yao na kumjumuisha Dr. Aukot kama mgombea.

EXCLUSIVE: “Nimefikiria hii gari isiwe ya Luxury nataka niifanyie biashara ya Uber”

You Might Also Like

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba

TAGGED: Kenya, TZA HABARI
Millard Ayo October 11, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article WORLD CUP 2018: Zilizofuzu Kombe la Dunia 2018 hadi sasa
Next Article KENYA: Mbunge Jaguar kaomba radhi baada ya kupigana Bungeni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5
Top Stories May 30, 2023
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
Top Stories May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
Top Stories May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5

May 30, 2023
Top Stories

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

May 30, 2023
Top Stories

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

May 30, 2023
Top Stories

‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?