Top Stories

Bwana harusi na Bibi harusi wakamatwa wakifunga ndoa (+video)

on

Bwana na Bibi harusiwamejikuta wanaingia matatani huko nchini Afrika Kusini baada tu baada ya kufunga pingu za maisha.

Maharusi hao walivamiwa na Maaskarii baada ya kudokezewa kwamba kuna harusi inayoendelea huko KwaZulu-Natal licha ya marufuku ya kukusanyika kwasababu ya virusi vya corona.

Wageni 50 waalikwa na kasisi aliyewafunganisha pamoja na wanandoa wenyewe walikamatwa na maafisa wa polisi na kupelekwa katika kituo cha polisi nje ya mji wa Richards Bay.

“MGONJWA WA CORONA ALIHISI KAWEKEWA SUMU” AMEPATIKANA ZANZIBAR AMETOKEA TANGA

Soma na hizi

Tupia Comments