AyoTV

BUNGENI: Swali la Zitto Kabwe kuhusu Watanzania waliouawa

on

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alisimama bungeni leo February 8 2017 na kuuliza swali katika kipindi cha maswali kutaka kujua kauli ya serikali kuhusu watanzania waliouawa na Wanajeshi wa Ujerumani.

Majibu yametolewa na Waziri wa ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussen Mwinyi kwenye hii video hapa chini…

BUNGENI: Vipi kuhusu Wanafunzi wanaopewa mimba na kufukuzwa 

Soma na hizi

Tupia Comments