AyoTV

VIDEO: Zitto Kabwe Bungeni kuhusu miswada mipya ya sheria

on

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe alikuwa miongoni mwa wa Wabunge waliosimama Bungeni Dodoma ili kuchangia muswada wa merekebisho ya sheria za Maliasili na Utalii July 3, 2017. Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: Mbunge Musukuma kuhusu wanaoikosoa Serikali 

Soma na hizi

Tupia Comments