Top Stories

Bweni la ‘Magufuli’ katika Shule ya Bumagi lateketea kwa moto (+video)

on

Bweni lililopewa jina la Rais Magufuli lililopo Shule ya Sekondari Bumangi katika Wilaya ya Butiama Mkoani Mara lateketea kwa moto huku Jeshi la Zimamoto likiendelea na jitihada za uchunguzi ili kubaini chanzo cha ajali hiyo.

Soma na hizi

Tupia Comments