Top Stories

Huenda ulipitwa na hii GOOD NEWS kutoka St John’s University of Tanzania

on

Wapo Watanzania ambao hupenda kuona maisha ya Watanzania wengine yakienda vizuri katika hali ya kuwafanya wafurahie wanachokipenda katika maisha yao ndiyo maana St John’s University of Tanzania wanayo furaha kubwa kuwafikishia Watanzania GOOD NEWS.

Baada ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania yaaniTCU kufungua maombi kwa wanafunzi kuomba Chuo kwa awamu ya pili October 4-10 ili kuruhusu makundi mbalimbali ambao kwa sababu kadhaa hawakufanya maombi katika awamu ya kwanza St John’s University of Tanzania (SJUT) inazo nafasi za kuomba katika degree mbalimbali.

 

Shule iliyozawadia magari wanafunzi wake, wametajwa TOP TEN Kifaifa

KITANZINI: Eneo la kihistoria lililotumiwa na WAKOLONI kuwanyonga WAHEHE

Soma na hizi

Tupia Comments