Mix

Picha 10: UKAWA Wanawake walivyotoka Nje ya Bungeni kisa kuitwa ‘Baby’

on

Umoja wa Wabunge wanawake UKAWA wametoka nje ya ukumbi wa Bunge Dodoma baada ya jana Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusema kuwa ‘Wabunge wote wa viti maalum CHADEMA ili wapate nafasi hizo ni lazima waitwe kwanza Baby

Kauli iliyopingwa na baadhi ya wabunge na kumtaka Naibu Spika kutumia kiti chake ili Mlinga atengue kauli yake, Mlinga alikubali kuitengua lakini Leo Mei 06 2106 hoja hiyo ikarejeshwa tena bungeni kuwa ni kauli ya udhalilishaji kwa wanawake.

Mbunge wa Kawe Halima Mdee amezungumza nje ya Bunge na kusema..>> ‘Jana mbunge Goodluck Mlinga wakati akichangia hotuba ya Wizara ya Katiba na Sheria alisema Wabunge wote wa viti maalum Chadema ili apate nafasi za kuwa Wabunge ni lazima awe Baby wa mtu

Sisi ni wajumbe wa umoja wa wanawake, tunajua nchi hii ina mfumo dume,  lakini jana wakati wabunge wanawake wanadhalilishwa kuna wabunge wanawake haohao walikuwa wanapiga makofi

Tumewaambia viongozi wetu na tumekubaliana kama wabunge wote kuwa tunaenda kuandika barua kujitoa kwenye chama cha Wabunge Wanawake

AW1A1242

Wabunge wanawake wakiwa wamesimama kupinga

AW1A1283

AW1A1306

AW1A1314

AW1A1332

AW1A1366

.

AW1A1377

AW1A1378

AW1A1393

AW1A1400
ILIKUPITA HII PROF TIBAIJUKA- ‘WANAOSEMA MIMI MWIZI WATAISOMA NAMBA’?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments