Habari za Mastaa

PICHA 9: Mastaa walivyotokelezea kitofauti kwenye Birthday Party ya Beyonce

on

Staa wa muziki kutoka Marekani Beyonce, amesherehekea birthday ya kutimiza miaka 35, na alifanya party ambayo alialika familia marafiki na mastaa wenzake .Utofauti mkubwa wa birthday hii na nyingine zilizopita kwake ni mavazi ambayo mastaa walichagua kuyavaa kwenye party hiyo.

Baadhi ya mavazi yaliyovaliwa na mastaa kwenye party hiyo yanafananishwa na mionekano ya watu wa miaka ya 1970. Kuanzia Beyonce, Jay Z mumewe pamoja na mastaa wengine, kama Kelly Rowland, Usher Raymond, Jannel Monae, Alicia Keys na mumewe Swizz beatz pamoja na wengine.

Bryonce

Beyonce

Beyonce na Jay Z

Beyonce na Jay Z wakiingia kwenye Party

Solange

Solange

Janel Monae

Janel Monae

P-Diddy na Cassey

P-Diddy na Cassey

Jay Z na Usher

Jay Z na Usher

Bryonce

Beyonce

Kelly Rowland

Kelly Rowland

Alicia Keys na Sweazbittz

Alicia Keys na Swizz beatz

KAMA ULIMISS MSAGA SUMU ALIVYOONGELEA JUU YA USHINDANI KWENYE MZIKI WA SINGELI, UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments