AyoTV

VIDEO: Nikki wa pili kafunguka mbele ya wanafunzi ‘Badilisha muonekano usipende instagram’

on

Ni Headlines za msanii wa Hip Hop kutoka kundi la Weusi, Nikki wa pili ambae leo October 19, 2019 kasimama mbele ya wanafunzi wa Shule ya Dodoma na kuwapa kile mwanafunzi anachotakiwa kukifanya wakati akiwa shule, itazame hii video hapa

Soma na hizi

Tupia Comments