Duniani

Sababu ya Beyonce kutoperform kwenye tuzo za Emmy 2016

on

Emmy Awards ni tuzo zinazotolewa kwa mastaa wa filamu kila mwaka, Na ninafahamu kuna watu wangu ni wapenzi kufatilia tuzo kama hizi za mastaa wa filamu mbalimbali za nje.

Usiku wa September 18 2016 zimetolewa tuzo za 68 za Emmy ndani ya Microsoft Theater, Downtown Los Angeles Marekani ambazo zimeshikilia headlines kwenye mitandao mbalimbali ambapo staa mmiliki wa album ya ‘Lemonade‘  Beyonce Knowles alitakiwa kutoa suprise perfomance usiku wa tuzo hizo.

Imeripotiwa na kituo kikubwa cha habari za mastaa, Enews cha marekani kuwa staa huyo alitamani kuwepo katika tuzo hizo lakini hakuwa vizuri kiafya na kumfanya ashindwe kufika kwenye tuzo hizo.

rs_1024x566-160915101739-1024-beyonce-los-angeles-concert

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA SABABU ZA MASTER J KUWAKATAZA WATOTO WAKE KUINGIA KWENYE MUZIKI? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments