Habari za Mastaa

SHILOLE: ‘RC Makonda ameguswa, sijui kesho yangu, sipendi nionekane staa’

on

Shilole amezungumza alivyo muwakilisha RC Makonda kwenye kukabidhi mchango ambao aliutoa kwenye msiba wa marehemu Godzilla ambapo ni baadhi ya vitu vya matumizi kwenye msiba huo vilivyonunuliwa na msanii Shilole kwa niaba ya RC Makonda.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama SHILOLE akielezea.

EXCLUSIVE: BELLA KAFUNGUKA ALIVYOKUWA AKIISHI NA GODZILLA ‘AMEKUFA NA MAUMIVU MAKALI SANA”

Soma na hizi

Tupia Comments