Mix

PICHA: Gari 5 za gharama duniani kwa mwaka 2016

on

Nafahamu nina watu wangu ambao wanapenda kununua magari mazuri na yenye thamani za juu, hivyo mtandao wa digitaltrend.com umetaja magari yenye thamani ambayo unaweza kuyanunua kwa mwaka 2016 na ukihitaji kununua magari ya aina hiyo ni lazima mkwanja mrefu ukutoke.

1- Koenigsegg CCXR Trevita

q1

Koenigsegg CCXR Trevita inauzwa dola milioni 4.8 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 10.

2- Lamborghini Veneno

q2

Lamborghini Veneno inauzwa dola milioni 4.5 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 9

3- W Motors Lykan Hypersport

q3

W Motors Lykan Hypersport inauzwa dola milioni 3.2 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 7

4- Limited Edition Bugatti Veryron

q4

Limited Edition Bugatti Veyron inauzwa dola milioni 3.4 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 7

5- Ferrari Pininfarina Sergio

q5

Ferrari Pininfarina Sergio inauzwa dola milioni 3 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 6.

Nitafurahi kuona comment yako mtu wangu kuhusu hii list

KAMA ULIMISS ALICHOKISEMA MATONYA ALIPOACHIA NGOMA MPYA BAADA YA KIMYA KIREFU KWENYE GAME UNAWEZA KUBONYEZA PLAY HAPA CHINI>>>

Soma na hizi

Tupia Comments