Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: CAF yamkingia kifua mwamuzi Sikazwe
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > CAF yamkingia kifua mwamuzi Sikazwe
Sports

CAF yamkingia kifua mwamuzi Sikazwe

January 15, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetupilia mbali rufaa ya Tunisia juu ya mchezo wao dhidi ya Mali kwenye michuano ya Afcon kundi F kumalizwa mapema kabla ya dakika 90 kuisha ,mchezo uliochezeshwa na mwamuzi Mzambia Janny Sikazwe na kumalizika  kwa Mali kuibuka na ushindi wa 1-0.

Katika taarifa ya CAF, waliyoitoa mapema leo, wamesema  kamati ya mashindano ya CAF iliyokaa siku ya Alhamisi imeyatupilia mbali malalamiko yaliyowasilishwa na chama cha soka nchini Tunisia (FTF) huku kukiwa hakuna  maelezo ya ziada  juu ya kutupiliwa mbali kwa rufaa hiyo

Upande wa FTF , Mapema siku ya Alhamisi kupitia tovuti ya chama cha soka nchini Tunisia (FTF)  walitoa taarifa kupitia kwa Hussein Jenaieh  ikisisitiza “Tutafanya chochote  ili kulinda haki ya timu yetu ya taifa ,sisi sio watoto wadogo”.

Afisa mwamuzi wa CAF Essam Abdul Fattah aliviambia vyombo vya habari vya Misri kwamba  mwamuzi alipigwa na jua hali iliyoathiri maamuzi yake katika mchezo huo “Baada ya mchezo, alihitaji kwenda hospitali kwa sababu hali ya hewa ilikuwa ya joto sana” amesema Fattah

You Might Also Like

Kocha Mkuu wa Taifa Stars awaita kikosini wachezaji hawa wawili wa Simba SC

Full Video: Tazama Mandonga alivyompiga Kenneth ‘Raia wa Uganda’ na kuibuka Mshindi wa Pambano hilo

Picha: Hawa ndio ‘Perfect Kanzu’, mastaa na Watu maarufu ununua hapa Kanzu zao Dar es Salaam

Kapombe na Tshabalala waongezwa Taifa Stars

Kocha Micho wa Uganda ajitetea kipigo cha Taifa Stars “Timu ya Mpito”

TAGGED: michezo
Pascal Mwakyoma TZA January 15, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wanaotuhumiwa kula nyama za binadamu wakamatwa
Next Article Picha kutoka kwenye fainali za Bongo Star Search 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?