April 13, 2017 Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad amewasilisha ripoti ya mwaka wa fedha ulioishia June 30, 2017. Katika vitu alivyoelezea ni pamoja tatizo kitendo cha makampuni ya madini nchini kutolipa kodi zitokanazo na faida kwa miaka yote.
Prof. Assad amesema…>>>‘Kampuni za madini zimekuwa zikitengeneza hasara kwa nchi, kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi kutokana na faida kwa miaka yote ’
‘Inawezekana vipi watu wakawa wanaendesha miradi ya madini kwa miaka 10,15 wanapata hasara na hawaondoki? Sasa tunafikiri hapa kuna tatizo’ –CAG Prof. Mussa Assad
Full video ya CAG akielezea nimekuwekea hapa chini tayari…
VIDEO: Bungeni: Kipindi cha mswali na majibu Bungeni April 13, 2017
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo