Mix

Hapa ipo video inayomuonyesha Zitto Kabwe akipokea ripoti ya CAG Dodoma Mei 07.

By

on

kabweeeKawaida taarifa hizi za ripoti ya CAG huwa zinapokelewa mwezi April lakini kwa mwaka huu imekua tofauti kidogo kwani imekabidhiwa mwezi Mei,miongoni mwa sababu zilizotajwa za kucheleweshwa kukabidhiwa kwa ripoti hii ni ule mchakato wa bunge maalum la katiba.

Teknolojia inaniruhusu kukuonyesha hii video,bonyeza play kutazama.

Tupia Comments