Top Stories

Marafiki waliochoka kuombwa lift na Mwenzao wakajichanga na kumnunulia gari kwa suprise (+video)

on

Kwenye kundi la Marafiki ni kawaida kukuta mmoja wao hana gari kwahiyo kumpa lift za hapa na pale ni jambo la kawaida kwako mwenye gari, hii ilitokea huko Afrika Kusini ambapo baada ya Marafiki wenzake kuchoshwa wakamfanyia suprise na kumpeleka showroom Rafiki yao muomba lift na kumnunulia gari ili asiwasumbue tena, bonyeza play hapa chini kumtazama

MAZOEZI YA KIJESHI CHINA “KATA KONA BILA USUKANI” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

WEZI WALIVYOREKODIWA VIDEO BILA KUJUA WAKIIBA OFISINI DAR, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments