Habari za Mastaa

VIDEO: Kilichomfanya Maria Carey aache kuimba na kuondoka stejini

on

Kama kuna wasanii waliopata headlines za kutosha mwaka 2016 basi huwezi kumsahau mwanadada Mariah Carey ambaye mpaka siku ya mkesha wa kumaliza mwaka alizungumziwa mno baada ya kushindwa kufanya perfomance nzuri kutokana na kutoimba sambamba na mziki uliokuwa ukiimba kwenye earphone zake sababu ambazo zinaelezwa ni za kiufundi.

Mariah  alikuwa akipeform live kwenye kipindi cha Dick Clark’s New Year’s Rockin’ Eve cha kituo cha ABC kwenye mkesha wa mwaka mpya ambapo wakati anaendelea na show sauti za mziki uliokua ukisikika kwenye earphone zake zilikata, kitu ambacho kilimfanya ashindwe kuimba sawa na muziki ulikuwa ukiendelea kusikika.

Unaweza kutazama video hapa chini

Video: Stereo ameweka wazi hisia zake kwa Chemical. Bonyeza play  kutazama 

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments