Habari za Mastaa

Kwa wale walio-miss vitu vya Lil Wayne, hii ni habari nzuri kwenu.

on

weezyLil Wayne alikuwa na Drake kwenye show ambapo Drizzy ametoa taarifa nzuri kwenda kwa mashabiki wa Wayne.

Wakiwa katikati ya show hiyo Drake alitangaza ujio mpya wa album ya Lil Wayne ambayo itakuwa ni ya tano katika mfululizo wa album za Carter.

Tha Carter III ni moja ya album yenye mafanikio makubwa kwenye muziki wa Lil Wayne na Drake amesema May 5 itakuwa siku ya kutoa Tha Carter V.

“If you want to hear Lil Wayne at his best, if you wanna hear Young Money at they best..Carter V, May 5”, alisema Drake akiwa kwenye stage pamoja na Lil Wayne.

[youtube youtubeurl=”kqKyK8xmOn0″ ][/youtube]

[soundcloud soundcloudurl=”” ][/soundcloud]

Tupia Comments