Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Casper Nyovest ajizawadia gari ya Tsh. Milioni 495
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Casper Nyovest ajizawadia gari ya Tsh. Milioni 495
Habari za Mastaa

Casper Nyovest ajizawadia gari ya Tsh. Milioni 495

December 16, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Rapa mkali kutoka Afrika Kusini, Casper Nyovest amejizawadia gari aina ya McLaren lenye thamani zaidi ya Sh milioni 495 ikiwa ni kumbukumbu yake ya siku ya kuzaliwa akifikisha miaka 31.

Nyovest kupitia ukurasa wake wa Instagram alituma picha akiwa amekaa kwenye gari hilo akisindikiza na ujumbe usemao;

“Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu, sikukua hata na kijiko cha fedha,ninajenga maisha haya si kwa kitu chochore isipokuwa maombi na bidii, Wazazi walinilea ili nijiamini na walinifanya nijisikie kuwa mmoja ya waliochaguliwa, hii ni kwa ajili ya watoto wote wanaokulia katika mitaa wakiwa na ndoto !!! Chochote kinawezekana,” 

“C.E.O BARBARA AMEFANYA VURUGU LEO AKIINGIA VVIP, WALIKUJA NA TICKET ZA WATU WENGINE” – TFF

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

Str8upvibes kumleta ‘Kizz Daniel’ Tanzania?

TAGGED: habari mastaa
Pascal Mwakyoma TZA December 16, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Malori yagongana uso kwa uso, watu wawili wafariki (+picha)
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 17, 2021
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
Entertainment August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
Top Stories August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
Magazeti August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022

You Might also Like

Sports

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

August 10, 2022
Sports

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

August 7, 2022
Sports

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

August 7, 2022
Sports

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

August 7, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?