Video Mpya

Cassper nyovest ametuletea video mpya akiwa na Frank Casino ‘Who got the block hot’

on

Ni Headlines za rapper Kutokea nchini Afrka Kusini aitwae Cassper Nyovest ambae Leo Novemba 15, 2019 ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao Who Got The Block Hot akiwa amemshirikisha Frank Casino.

Soma na hizi

Tupia Comments