Habari za Mastaa

Casto kamjibu Tunda “Wewe ni video vixen tu unakuja kuniambia nini, message za kuedit”

on

Mtangazaji wa Clouds TV kupitia kipindi cha Sizi kitaa Casto Dickson ambaye aliwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mrembo Tunda amefunguka na kumjibu EX wake huyo ikiwa ni siku chache toka Tunda avujishe mtandaoni message ambazo Casto amekuwa akimtumia Whtsap.

Casto amesema yale aliyoandika Tunda siyo kweli….“Kwanza siyo kweli, Mimi ninachowaombea kama kuna hatua wamepiga baada ya kuongea hivyo Mungu awabariki, Mimi nafanya mambo yangu Niko Kwenye levels nyingne, Huwezi kunifanya Mimi kuwa Maarufu miaka kumi, Alafu unakuja kuniambia umenifanya Mimi kuwa maarufu wewe ni nani..? Wewe ni video Vixen tu unakuja kuniambia nini..? Message za kuedit “ Casto Dickson

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Casto akizungumza..

VIDEO: MAMA WA SHARO MILIONEA KAFUNGUKA WASANII WALIOMTENGA “MIMI MLEMAVU”

Soma na hizi

Tupia Comments