AyoTV
-
Kutoka Mikocheni Dar es salaam, hizi ni dakika 3 za video inayoonyesha Shilole akivishwa pete ya uchumba na Nuh Mziwanda.
AyoTV ilikua kwenye eneo lenyewe ambako kumefanyika party ya birthday ya msanii/mwigizaji Shilole...
-
Kipisi kutoka kwenye video mpya ya ‘mwana’ ya Ali Kiba na ilivyopangwa kutolewa.
Miezi inahesabika toka itoke hit single ya ‘mwana’ ya Ali Kiba ambayo iligusa...
-
#AyoTV Walichofanya Madee na Chege Afrika Kusini, mkali wa Afrika Kusini anaetaka kolabo na Diamond.
Ni stori kuhusu bongofleva na headlines zake nje ya mipaka ya Tanzania ambapo...
-
AyoTV: video ya jinsi Mtanzania Idris Sultan alivyopokewa Dar baada ya ushindi wa BBA 2014
Mtanzania Idris Sultan ambaye ni mshindi wa Big Brother Africa Hotshots 2014 amepokelewa...
-
Video ikionyesha jinsi Diamond Platnumz, Zari na wengine walivyonaswa tuzo za Channel O 2014.
millardayo.com na AyoTV zilisafirishwa na Fastjet kutoka Dar es salaam Tanzania mpaka Johannesburg...
-
Unazitaka stori za AyoTV? Dokii amzungumzia aliemloga, gari la Peter Msechu, Prezzo na waliozifungia video za wengine hapa.
AyoTV imeanza kukuletea #StorizaAyoTV ambazo ni dakika chache zenye mkusanyiko wa habari au...
-
Kama ilikupita,hii ndiyo single mpya ya Kala Jeremiah.
Hili ni zao kutoka Bongo Star Search ambapo amefanikiwa kutoa single kadhaa ikiwemo...
-
Ile video ya Ommy Dimpoz imetoka ni remix ya Tupogo.
Picha hizi zilisambaa miezi michache nyuma ambazo zilikua zikimuonyesha Ommy Dimpoz kama katoka...
-
Video 10 za Afrika Mashariki zinazotamba kwenye TV ziko hapa
Kama kiu yako ni kufahamu pia kuhusu video zinazofanya vizuri Afrika Mashariki kwa...
-
Inawezekana na hizi za AyoTV zilikupita… ikiwemo hii harusi ya Steve RNB.
AyoTV imeanza kurusha stori zake kupitia millardayo.tv ambapo itakua ni mchanganyiko wa vitu...
-
Ninayofuraha kukuletea hii video mpya ya Young Killer ft. Fid Q & Belle 9
Ni muunganiko wa wakali kutokea 88.1 Mwanza na mkali kutokea Morogoro Belle 9...
-
Diamond Platnumz amerudi kwenye headlines na hii video mpya ‘nitampata wapi’
Alhamisi ya Nov 20 Diamond Platnumz ameibariki siku hii kwa kuachia video na...
-
#Exclusive Video ikionyesha Ay akiwa nyumbani kwa Sean Kingston, ni nyimbo gani hazitakiwi kupigwa BBA? zote ziko hapa
AyoTV imeleta kitu kinaitwa #StorizaAyoTV ambazo zitakua zinatoka kila wakati kukuletea video za...
-
Behind the scene ya kwanza ya Ay kwenye video na Sean Kingston, nyingine zinakuja
Inawezekana mimi na wewe tunafahamu kwamba msanii wa Tanzania Ay alikwenda Marekani kufanya...
-
Top10 stories za AyoTV, Mashabiki walichomfanyia Ali Kiba Kigoma, anapojenga Mzee Majuto na mengine
November 2014 AyoTV ambayo iko chini ya TZA inayomiliki pia millardayo.com imeanza kufanya...
-
Mashabiki walichomfanyia Ali Kiba Kigoma na nyumba ya mzee Majuto akistaafu kuigiza viko hapa.
AyoTV imeanza kuzitoa stori zake ambazo zitakua zinakujia kila wiki kupitia millardayo.tv na...
-
Walichokifanya Watanzania Vanessa, Shaa, Diamond na Joh Makini kwenye fainali ya #CokeStudioAfrica
Nimekuja kujikuta #CokeStudioAfrica ni show nyingine ninayopenda kuitazama kwenye TV ikiwa na muunganiko...
-
Umewahi kusikia mnyama anamfundisha binadamu? Hii imetokea, tazama video hapa.
Sote tunafahamu kwamba ni kawaida kwa mnyama kufundishwa kufanya kitu flani na binadamu...
-
#AyoTV Dakika 4 kutoka kwenye chumba yalikotangazwa maamuzi mapya ya Miss Tanzania Sitti Mtemvu.
Kazi ya TZA (millardayo.com na AyoTV) ni kuhakikisha inazibeba stori zote muhimu na...
-
Mabibi na mabwana @MwanaFA anayofuraha kutualika kutazama video yake mpya ya ‘Mfalme’ hapa
Ni single ambayo imeivunja rekodi yake mwaka huu wa 2014 kwenye list ya...
-
Labda kama hukuelewa alichosema Shetta kuhusu Ali Kiba. @ShettaTz
Ameingia kwenye vichwa vya habari Tanzania na hata wengine kuona kama amekosea kutoa...
-
Magazeti ya leo Nov 7 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku....
-
Sek 39 za kutazama kionjo cha msimu wa pili ‘In My Shoes’ ya Wema Sepetu ziko hapa…
Staa wa movie Tanzania Wema Sepetu anatarajia kuachia kipisi kingine cha show kwenye...
-
Utapenda kupitwa na walichofanya WEUSI Arusha?
Ukibonyeza play hapa chini kwenye hii video ya AyoTV utapata time ya kuona...
-
Uliziona hizi dakika 3 za @MwanaFA baada ya kwenda Tanga?
Siku zote huwa inanifanya nitamani kuona inakuaje pale msanii flani anaporudi nyumbani kwao...