Breaking News
-
BREAKING: Ni kweli Jeshi limechukua Nchi Zimbabwe na kumuondoa Mugabe? Jeshi laongea
Hali ya sintofahamu imetokea mjini Harare Zimbabwe leo asubuhi baada ya Jeshi la nchi hiyo kuzingira...
-
BREAKING: Hukumu ya Mtoto wa Chacha Wangwe alieandika maneno 29 FACEBOOK imetolewa leo
Ni kesi ambayo wengi walikua wanasubiria kuona mwisho wake ikimuhusisha Mtoto wa Marehemu...
-
BREAKING: Mume wa zamani wa Irene Uwoya Ndikumana amefariki, chanzo chatajwa na alichoomba kabla ya kufariki
Asubuhi ya leo Tanzania imezipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Kocha msaidizi wa...
-
BREAKING: Lawrance Masha ajivua uwanachama CHADEMA, sababu zote kazitaja hapa
Mwaka 2015 Waziri wa zamani kwenye awamu ya nne Lawrance Masha alijiondoa CCM...
-
BREAKING: Shirika la kutetea haki za Binadamu lazuiwa kutoa Ripoti inayohusu Watanzania (+video)
Tume ya Taifa ya Sayansi (COSTECH) imelizuia Shirika la kutetea haki za binadamu...
-
BREAKING: TAKUKURU wanamtafuta huyu Mtanzania mwenye mali na pesa nyingi
Ni Live Breaking News kupitia Youtube ya “millardayo” ambayo kila siku inakuletea live...
-
BREAKING: Lazaro Nyalandu amjibu Kigwangalla, amuandikia sentensi 7
Leo mchana November 13, 2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla aliliagiza Jeshi la...
-
BREAKING: Video ya Kigwangalla akiagiza Polisi na TAKUKURU kuanza kumchunguza Nyalandu mara moja
Kutoka Bungeni Dodoma leo November 13, 2017 ni agizo alilotoa Waziri wa Maliasili...
-
BREAKING: Nyalandu kuanza kuchunguzwa, Dr. Kigwangalla awaagiza Polisi na TAKUKURU
Ni habari kutoka Bungeni Dodoma leo November 13 2017 na ni agizo la...
-
BREAKING: Mahakama kuu yamuhukumu Lulu kwenda Jela
Leo ndio siku ambayo Mahakama Kuu Tanzania ilikua inasubiriwa kutoa hukumu ya kesi...
-
FULL VIDEO: Tajiri Mtata alivyotamba mnadani na kununua nyumba za Bilioni 2 wakati hana kitu mfukoni
Gumzo la Dar es salaam leo ni “Tajiri Mtata” Dr. Luis Shika ambae alivalia...
-
BREAKING: Jamaa alienunua nyumba 3 za Bilioni 3 Lugumi leo DSM akamatwa na Polisi
Dakika kadhaa zilizopita zilianza kusambaa picha za Jamaa mmoja akiwa amevalia simple shati,...
-
BREAKING: Nyumba za Lugumi zaanza kununuliwa, Bilionea aliechukua 3 kaibuka na sendoz
Kuna zile nyumba za Said Lugumi ambazo zilitangazwa kwamba zinapigwa mnada na kwa...
-
BREAKING: Nyalandu kuhusu alichozungumza na Lowassa leo
Kama unakumbuka siku za hivi karibuni aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu...
-
LIVE BREAKING NEWS: Msemaji wa Serikali anamwaga mambo 10 ya Serikali sasa hivi
Kazi ya AyoTV na millardayo.com ni kukusogeza karibu na kila habari, Breaking News...
-
BREAKING NEWS: Mahakama yamwachia huru Kigogo wa ESCROW
Ni habari kutoka Mahakamani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam...
-
BREAKING: Barua ya Katibu Mkuu CCM kuhusu kujiuzulu kwa Nyalandu “tulishaanza kumchukulia hatua”
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae...
-
BREAKING: Mahakama imemuachia huru Adam Malima
Siku chache baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa na Rais John Magufuli,...
-
BREAKING: Alichoongea Zitto Kabwe baada ya kukamatwa na Polisi mara mbili leo (video)
Moja ya taarifa kubwa za leo October 31 2017 Tanzania ni kuhusu kukamatwa...
-
BREAKING: Meya wa Mwanza aliekamatwa na Polisi akimpokea Rais Magufuli, aongea
Zilitoka taarifa za Meya wa Jiji la Mwanza James Bwire kushikiliwa na Polisi...
-
BREAKING: Zitto Kabwe aachiwa, akamatwa tena na Polisi.. ACT yaongea
Saa chache baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kukamatwa na Jeshi la...
-
BREAKING NEWS: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi
Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Mbunge wa Kigoma Mjini ambae pia ni...
-
LIVE BREAKING NEWS: Serikali yamjibu Zitto Kabwe
Ni kuhusu takwimu za uchumi Tanzania ambazo kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO...
-
VIDEO: Lazaro Nyalandu akitangaza kujiuzulu Ubunge
Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ametangaza kujiuzulu Ubunge wake pamoja na nafasi...
-
BREAKING: Lazaro Nyalandu ajiuzulu Ubunge Singida Kaskazini
NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi...