Duniani
-
Dubai imezindua Magari yasiyotumia dereva yanayoweza kufuatilia wahalifu
Polisi wa Dubai wameanzisha program maalum kutumia magari yasiyokuwa na dereva na yenye...
-
UTAFITI: Wanaume waliochelewa kupata watoto, hupata watoto wenye akili
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Seaver Autism Center ya Marekani umeonesha kuwa Wanaume waliochelewa...
-
TAKWIMU: Donald Trump ametajwa kama Rais asiyekubalika zaidi duniani
Rais Donald Trump wa Marekani ametajwa kama Rais asiyekubalika zaidi kuwahi kuchaguliwa na...
-
UTAFITI: Kumshika mkono unayempenda akiwa anaumwa kunapunguza maumivu
Wanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Colorado, Marekani wamesema kuwa kumshika mkono mtu unayempenda...
-
UTAFITI: Wanawake wanene hatarini kujifungua watoto wenye ulemavu
Wanawake wajawazito ambao wana uzito mkubwa au unene uliopitiliza wako hatarini kujifungua watoto...
-
Watanzania wawili kwenye Tamasha la Filamu Ufaransa
Cannes Film Festival ni tamasha kubwa Filamu Duniani ambalo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka...
-
Kuna haya mambo 6 ya kujiepusha nayo ukitembelea nchi hizi
Utamaduni ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuhifadhi hadhi na heshima ya mtu na...
-
Tamaduni 7 za Ndoa zitakazo kushangaza, huruhusiwi kutabasamu
Wanasema tembea uone au subiria usimuliwe….. kuna sheria au tamaduni ambazo zinatumika kwenye...
-
UMRI SIO ISHU: Mke wa Rais aliyemzidi Mume wake kwa miaka 25
May 7, 2017 Emmanuel Macron alichaguliwa kuwa Rais mpya wa Ufaransa kuchukua nafasi...
-
Wanyama 6 waliowahi kugombea nafasi za juu za uongozi duniani
Kwa kawaida uongozi ni dhamana kubwa wanayopewa Watu mbalimbali lakini hii ya Wanyama...
-
Sababu za kwanini Wanandoa wengi hufanana
Ni miongoni mwa swali wanalojiuliza watu wengi kwanini Wanandoa wengi hufanana? sasa leo...
-
PICHA 10: Adhabu za Ulaya kwa Madereva wanaopaki magari vibaya
Kwa Tanzania gari yako ikikutwa imewekwa sehemu isiyotakiwa sanasana wataipiga pini kwa minyororo...
-
Imegunduliwa sidiria yenye uwezo wa kutambua kansa kwa wanawake
Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Mexico ameshika headlines duniani baada ya kutengeneza sidiria ‘Brazia’...
-
PICHA 7: Ilivyoadhimishwa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Kagera
Kila ifikapo May 3 dunia huadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari...
-
Jinsi hisia za kimapenzi zinavyoweza kumsaidia mtu kuacha dawa za kulevya
Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha St George’s London wamegundua jinsi hisia za mapenzi zinavyoweza...
-
Tazama Taarifa ya Habari ya Azam two May 2 2017
Ni May 2 2017 ambapo tayari millardayo.com na Ayo TV inakuunganisha na Azama TV...
-
Teknolojia mpya iliyogundulika kufanya upasuaji wa kichwa
Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Utah nchini Marekani wamevumbua teknolojia mpya ya Robot...
-
TOP 5: Marais watano wanaolipwa mshahara mdogo zaidi duniani, Afrika wapo wawili
Kwa kawaida tunadhani Marais ni miongoni mwa watu wanaolipwa mishahara mikubwa sana, lakini...
-
Vifaa 7 vya kiteknolojia vilivyowahi kubuniwa na kuushangaza ulimwengu
Kila mwanasayansi duniani hutaka kugundua teknolojia flani ili kujijengea heshima na jina katika...
-
Sheria ya kunyoa nywele Korea Kaskazini ambayo haipatikani kwingine duniani
Kila sehemu kuna taratibu zake ambazo lazima zifuatwe na watu wa sehemu husika...
-
UTAFITI:Ukosefu wa ajira umetajwa kusababisha vifo kwa zaidi ya asilimia 50
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na madaktari bingwa wa moyo kutoka European Society of...
-
Ifahamu sababu kuu ya vifo vingi nchini India
Takwimu zilizowekwa na Jeshi la Polisi India zimeonesha kuwa watu wengi wamekuwa wahanga...
-
Sehemu saba ambazo unaambiwa ukiingia unahatarisha maisha yako
Kwa kawaida tunadhani kuwa sehemu ambazo zinapewa ulinzi mkubwa katika nchi yoyote ni...
-
List ya nchi 5 zilizotumia fedha nyingi kwa ajili ya majeshi 2016
Inaelezwa kuwa sifa ya nchi yoyote ni uwezo wa Jeshi lake katika kujilinda...
-
Upinzani Kenya umetangaza atakayeshindana na Rais Kenyatta kwenye Uchaguzi Mkuu
Muungano wa Vyama vya Upinzani nchi Kenya NASA umemtangaza mwanasiasa mkongwe nchini humo...