Mr Eazi atishia kumshtaki producer wake kwa madai ya kukiuka mkataba
Mwimbaji maarufu, Oluwatosin Oluwole Ajibade, almaarufu Mr Eazi, ametishia kumshtaki mtayarishaji wa…
Naira Marley na Sam Larry waliachiliwa kwa dhamana baada ya wiki kadhaa kizuizini
Wanamuziki wa tasnia ya muziki Sam Larry na Naira Marley wamepewa dhamana,…
Rapa Busta Rhymes kutumbuiza kwenye jukwaa la Sole DXB mwezi Desemba
Tamasha la kitamaduni la kisasa lenye makao yake Dubai, Sole DXB limezindua…
Chris Brown kutumbuiza katika tamasha la Abu Dhabi F1
Mwimbaji wa RnB wa Marekani Chris Brown anatazamiwa kutumbuiza kwenye mashindano ya…
Nilikataa Dola millioni 5 ya show Dubai kwa sababu sitaruhusiwa kuvuta bangi – Burna Boy
Mwanamuziki wa Nigeria aliyeshinda tuzo ya Grammy, Damini Ogulu, almaarufu Burna Boy,…
Michael Jackson anaongoza kwenye orodha ya Forbes ya watu mashuhuri waliolipwa pesa nyingi zaidi mwaka wa 2023
Marehemu Michael Jackson, mfalme wa pop, ameongoza orodha ya Forbes ya watu…
“Nina ushindani ndani yangu lakini sishindani na wasanii wengine’-Tems
Mwimbaji wa Nigeria aliyeshinda tuzo ya Grammy, Temilade Openiyi, maarufu kwa jina…
Rapa wa Uingereza, Stormzy aonyesha mshikamano na Palestina
Rapa wa Uingereza, Michael Ebenezer Kwadjo Omari Owuo Jr., maarufu Stormzy, ameonyesha…
Asake, Tyla wasanii ninaowapenda wa Kiafrika – Tems
Mwimbaji aliyeshinda tuzo ya Grammy Temilade Openiyi, almaarufu Tems, amemtambulisha mwimbaji mwenzake…
Rema hatimaye azungumzia juu ya kujiunga na illuminati
Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Divine Ikubor, almaarufu Rema, hatimaye amejibu uvumi ulioenea…