Habari za Mastaa
-
Video:Diamond alivyofika nyumbani kwa Zari Afrika Kusini kuwaona watoto wake
NI Mkali kutokea Bongo Flevani, Nasseb Abdul aka Diamond Platnumz ambae time hii...
-
Mkataba wa Kobe Bryant na Nike wafika mwisho
Mke wa marehemu Kobe Bryant, VanessaBryant amechagua kutoendeleza mkataba kati ya marehemu mume...
-
Sakata la Harmonize, Jeshi la Polisi limetoa tamko kwa mara ya kwanza
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea kuchunguza tuhuma...
-
P Funk afunguka yanayoendelea kuhusu Paula na Kajala
Mtayarishaji wa Mkongwe wa Muziki Bongo, P Funk Majani amefunguka baada ya kulizwa...
-
PICHA: Weusi wakiwa kwenye pozi la pamoja na watoto wao
Kutana na picha ya pamoja ya wasanii wanaounda kundi la Weusi ambao ni...
-
BASATA yaingilia kati yanayoendelea kwa wasanii sakata la Harmonize
Baraza la Sanaa la Taifa BASATA leo April 14,2021 limetoa tamko kutokana na...
-
Baada ya miaka 20 Awilo awasili DSM, apokelewa kwa shangwe (+video)
Baada ya zaidi ya miaka 20 Msanii Mkongwe kutokea DRC Congo Awilo Longomba...
-
VIDEO:Harmonize avunja ukimya ubunge ‘Neno lake litatimia’
NI Machi 26, 2021 ambapo mwili wa hayati Dkt John Pombe Magufuli unafanyiwa...
-
PICHA 18 za wasanii na viongozi walioshiriki ibada ya kumuombea hayati Dkt Magufuli
NI Machi 26, 2021 ambapo mwili wa hayati Dkt John Pombe Magufuli unafanyiwa...
-
VIDEO:Alikiba akimbo wimbo wa kumuenzi hayati Magufuli Chato mbele ya Viongozi
NI Staa kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae leo Machi 25, 2021 amefika Chato...
-
Video:Alikiba akiwa Chato kafunguka msiba wa hayati Magufuli na atakavyomuenzi
NI Staa kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae leo Machi 25, 2021 amefika Chato...
-
Diamond na Majizo wakaa siti moja, Harmonize nyuma yao msibani kwa Hayati Magufuli
Ikiwa Machi 20, 2021 aliekuwa Rais wa awamu ya tano ya Jamhuri ya...
-
Diamond, Vanessa, Zari na mastaa wengine wamlilia Rais Magufuli
NI Simanzi na Majonzi zimetawala Tanzania baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
-
Ndoa ya Harmonize na Kajala “mapenzi yamebeba maisha, chawa wengi miruzi mingi” (+video)
Harmonize amethibitisha kuwa anaamini Kajala ni mwanamke sahihi kwenye maisha yake ameyasema hayo...
-
“Saraha nimempa talaka, namshukuru namuombea MUNGU amsaidie” Harmonize (+video)
Harmonize amejibu swali ambalo limekuwa likiulizwa na wengi hasa baada ya kushamiri kwa...
-
Video:Mtoto wa Zamaradi na Ruge akijibu maswali ya mwandishi kama mtu mzima bila kusaidiwa
Ni mahojiano na mtoto wa Zamaradi, Russell Mutahaba ambaye leo alikutana na waandishi...
-
Hawa ndio Vijana waliopiga picha iliyotrend mtandaoni, waonesha wanavyopiga picha katikati ya moto
Kutana na vijana waliopiga picha iliyotrend mtandaoni kutokana na ubunifu waliotumia, mpiga picha...
-
Tazama Harmonize na Konde Gang walivyowasili kwa mbwembwe kumtambulisha Anjella
Ni Headlines za msanii kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae leo amemtambulisha Anjella kujiunga...
-
VIDEO: Auntie Ezekiel kafunguka ya Ruby, Kusah na kubadili Dini
Mwigizaji Auntie Ezekiel amesema kingine kinachoweza kuyafanya mapenzi yawe marefu ni kufahamu mipaka...
-
Mfahamu mzee alietrend mtandaoni tumefika mpaka kwake kafunguka ‘Mimi sio mchambaji’
Mfahamu Mzee Kisauji mwanamuziki aliyeanza kujihusisha na muziki toka miaka ya 70, hivi...
-
Madam Rita kwa mara ya kwanza acheza Filamu, kafunguka ( + video)
Ni filamu ya Binti iliyozinduliwa usikuwa wa March 8, 2021 ambapo humo ndani...
-
THT ya Ruge imerudi kivingine, waingia makubaliano haya
Leo March 9, 2021 Nyumba ya vipaji THT imeingia makubaliano na Taasisi ya...
-
Kwa mara ya kwanza Polisi wafunguka video ya Rayvanny na Paula ‘Tunachunguza simu’
Kesi bado inaendelea ipo chini ya upelelezi na haujakamilika kwa sababu ni upelelezi...
-
Rayvanny ajitokeza, kazungumza sakata la video yake na mtoto wa Kajala
Kwa mara ya kwanza msanii Rayvanny amejitokeza hadharani na kuongelea sakata la video...
-
Maua kathibitisha kuachana na mzungu wake, kamuelezea Mwanaume alieenda nae ZNZ
Msanii Maua Sama athibitisha kuachana na mpenzi wake Aliyekuwa akisemekana ni Mzungu ambapo...