Habari za Mastaa
-
Hili ndilo jibu la Haji Ramadhani kwenda kwa Ney wa Mitego.
Haji Ramadhani ni msanii aliyetajwa kwenye line za wimbo wa Salaam zao wa...
-
Video ya ‘November au December’ ya Amini ilikua ikitengenezwa hivi
Amini kutoka Tht ameanza kutengeneza video ya wimbo wake wa ‘November au December’...
-
Pichaz za jinsi ilivyokua kwenye usiku wa Meninah & Linah Club Bilicanas
Jumapili ya Jana March 16 ndani ya Club Billcanas Dar es salaam Meninah...
-
Pichaz za Show ya Madee na Shilole Mtwara.
Hii ni show ambayo pia inaingia kwenye kumbukumbu kwa kuwa ilikuwa na watu...
-
Namna Young Dee feki alivyotapeli Digital Camera Mbeya.
Hili ni tukio ambalo linakua kwenye records za wasanii mbalimbali wa Tanzania waliowahi...
-
Hii ndio nyumba ya Mheshimiwa Temba kapewa na Meneja wake.
Muziki wa Tanzania unazidi kuingia kwenye headline hasa inapotokea kwenye vitu vikubwa kufanyika,mwishoni...
-
Hii hapa video mpya ya Izzo B.
Izzo B ni miongoni mwa wasanii wanaowakilisha 87.8 Clouds Fm Mbeya hii ni...
-
Namna Meninah na Linah walivyoamua kuunganisha birthday zao Jumapili hii March 16.
Hii ni party ambayo imeamua kuunganishwa na sherehe za kuadhimisha miaka kadhaa ya...
-
J.lo angekuta Diddy na Ben Affleck wanaelea kwenye maji angemuokoa nani kati yao?
Mwimbaji Jennifer Lopez ameshawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mastaa kadhaa wa...
-
Baada ya Wema kudaiwa kumfanyia Diamond fujo studio, leo kaweka hii picha na kuyaandika haya
Kupitia You heard ya XXL Clouds FM March 14 2014 zilitoka stori kwamba...
-
Hii ndiyo kampeni mpya ya Rose Ndauka.
Msanii kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Rose Ndauka amekuja na kampeni ya usafi...
-
Kuhusu Wema Sepetu kufanya fujo studio baada ya kuwakuta Diamond na Victoria Kimani
Gossip cop Soudy Brown wa U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori...
-
Diamond Platnumz kashika namba moja Top 10 Afrika, 9 alizozishinda ziko hapa @Diamondplatnumz
Toka nimeanza kufatilia hii chati ya TRACE TV, kituo cha ufaransa ambacho kimeshika...
-
Lil Wayne anasemaje kuhusu kustaafu muziki? atakaetaka kumuingiza studio tena?
Lil Wayne anasema amekusudia kustaafu muziki baada ya kuachia album yake ya mwisho...
-
Weekend hii unaweza kuitumia kwa kuangalia hizi movie kwenye theater tofauti.
300 Rise of an Empire ni movie ambayo inategemewa kuangaliwa sana na watu...
-
Kwa wale wa Trey Songz, video yake mpya iko hapa
Amekua ni miongoni mwa wasanii ambao wakikaa kimya kidogo, fans wake wanakua na...
-
Picha za Ommy Dimpoz akiwa chini ya ulinzi wa polisi Uingereza.. making the video
Ommy Dimpoz amethibitisha kufanya video yake mpya nchini Uingereza chini ya director ambae...
-
Rihanna na Drake tena, hizi ni za jana usiku Manchester.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tetesi za mastaa wa muziki Drake na Rihanna...
-
Kwa nini Vanessa Mdee hatoonekana kwenye show mpya TV 1
Kuna taarifa zilianza kupatikana kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kwamba msanii ambae pia...
-
Baada ya Lord Eyez kwenye headlines sasa ni Ibra da hustler, haya ni maamuzi yake mapya
Ni siku kadhaa tu zimepita toka msanii wa hiphop Lord Eyez kudaiwa kuiba...
-
Baada ya Tunda man kuzawadiwa benz na shabiki, huyu ni msanii mwingine bongo aliezawadiwa hili gari
Kwenye moja kati ya Exclusive za millardayo.com mwaka juzi kabla ya AyoTV kuanza...
-
Ufahamu utaratibu mpya wa @cpwaa anaoutumia sasa hivi kwenye kugawana mapato na maproducer wake.
Moja kati ya sababu kubwa zinazosababisha kusitisha au kuvunja mikataba miongoni mwa wasanii...
-
Umesikia kilichomkuta msanii M-Rap Billcanas?sikiliza hapa.
Huyu ni mmoja kati ya wasanii wanaowakilisha familia ya Bhits ambapo mwisho wa...
-
Huyu mrembo anaitwa Sofia, ndio ataonekana kwenye video mpya ya @OmmyDimpoz aliyofanya London
Ommy Dimpoz amerudi Tanzania March 10 2014 saa tano usiku ambapo AyoTV na...
-
Kuhusu Jay Z kugoma kuwa best man kwenye harusi ya Kanye West.
Kutoka kwenye mitandao tofauti ya Marekani kuna stori zimemake headline zinazowahusisha Jay Z...