Habari za Mastaa
-
Sikiliza alichokifanya Ommy Dimpoz kwenye video ya Victoria Kimani.
Kwenye utengenezwaji wa video ya wimbo wa Prokoto wa Victoria Kimani ambao ndani...
-
Kaunzia July 11 hadi 17 hizi ndizo movie kwenye theaters
Baada ya movie ya Think Like a man 2 kufanya vizuri wiki hii...
-
Picha 45 za mapokezi ya Diamond Platnumz Dar es salaam July 10.
Diamond Platnumz ameingia Dar es salaam usiku wa July 10 akitokea Marekani mashabiki...
-
Kingine kipya kilichosemwa kuhusu Uhusiano wa Young Killer na mpenzi wake.
Uhusiano wa kimapenzi kati ya Rapa Young Killer na mpenzi wake aliyetajwa kwa...
-
Adhabu aliyopewa Justin Bieber kwa kurusha mayai kwenye nyumba ya jirani yake.
Nyota wa muziki wa Pop kutoka Canada Justin Bieber amepewa adhabu ya kuwekwa...
-
Sababu ya watengenezaji wa Filamu mpya ya Transformers kushtakiwa
Kampuni moja ya kitaliii kutoka nchini China imesema kuwa itawashtaki watengenezaji wa filamu...
-
Alichokisema Ray C kuhusu kauli aliyopewa na TID.
Siku za karibuni, Nyota wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID...
-
Kuhusu ushiriki wa Adam Kuambiana kwenye video ya Mdogo Mdogo ya Diamond Platnumz.
Ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye aliwahi kuhisi au kutegemea kama Marehemu Adam...
-
Hii ndiyo ahadi anayodaiwa Roma na Mashabiki wa Germany.
Mechi kati ya Brazil na Germany ilibeba hisia za watu wengi sana na...
-
Hili hapa eneo jingine kuhalalisha matumizi ya Bangi.
Unaambiwa Matumizi ya Bangi kama kiburudisho yamehalalishwa kutumika kwenye jimbo la Washington nchini...
-
Neno alilosema Bob Junior baada ya kuulizwa kama anatumia rangi ya mdomo.
Kwenye picha mbalimbali za Bob Junior kwa wafatiliaji wamedai kuwa anapaka rangi ya...
-
Nigeria imeidhinisha kuachiwa kwa filamu hii kubwa baada ya kuhofia vurugu mwanzoni.
Bodi ya filamu nchini Nigeria hatimaye imeidhinishwa kusambazwa kwa sehemu kubwa na...
-
Diamond Platnumz kamzawadia hili gari mama yake leo July 07.
Ingawa hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake...
-
Mabibi na mabwana zile video mbili alizoahidi Diamond kuzitoa leo zipo hapa.
July 07 ni siku ambayo Mama mzazi wa Diamond Platnumz anaadhimisha siku yake...
-
Baada ya wadogo zake, kaka yao P Square kumuoa huyu mwanamke
Baada ya kuwashuhudia wadogo zake Peter na Paul wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye...
-
Picha 18 za utengenezaji wa video mpya ya H.baba.
Star wa singo ya Mpenzi Bubu H baba leo ametoa picha kadhaa ambazo...
-
Pata picha ya video ya Mdogo mdogo ya Diamond kwa kutazama kipande hiki.
Video hii pamoja na ile ambayo ameshirikiana na Iyanya kutoka Nigeria Diamond Platnumz...
-
Kuhusu Kiasi kikubwa na kidogo alichowahi kulipwa Madee kwenye maisha ya kimuziki.
Maisha ya kimuziki ya wasanii wengi wa Tanzania walio wahi kufanya show nyingi...
-
Degree ya heshima ya udaktari aliyopewa mwanamuziki Oliver Mtukudzi.
Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba...
-
Hiki ndicho kitu kikubwa atakachofanya Diamond siku ya birthday ya mama yake.
Mama yake Diamond amezaliwa tarehe 7/7 na siku hiyo Diamond amepanga kufanya kitu...
-
Unazikubali show za Davido? Cheki picha zake alivyofanya show ndani ya Rwanda.
Baada ya tuzo za BET Davido alielekea Rwanda ambapo alienda kufanya show kwenye...
-
Dr Jose Chameleone ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale,usikilize hapa
Mkali huyu kutoka Uganda ambaye nyimbo zake Badilisha na Valuvalu bado zinapendwa, ametoa...
-
Picha 8 za Jumba la kifahari Oscar Pistorius alilopanga kuishi na mpenzi wake kabla ya kumuua.
Hizi ni baadhi ya picha Jumba kubwa la kifahari la Oscar Pistorius lenye...
-
Hii ndio sababu ya Katy Perry kushtakiwa na marapa wa nyimbo za Injili.
Nyota wa muziki kutoka nchini Marekani Katy Perry ameshtakiwa na marapa nyota wa...
-
J Martins na Dj Arafat wamerudi tena na hii video mpya baada ya ‘touching body’ @Realjmartins
Kolabo yao ya kwanza ‘touching body’ ilifanikiwa kuyafikia mataifa mengi ya Afrika mpaka...