Habari za Mastaa
-
Picha 22 za utengenezwaji wa video mpya ya @MwanaFA ft. G Nako – mfalme
Mfalme ni single ambayo ndani ya wiki nne za kuwa ndani ya chati...
-
Hii ni video mpya kutoka kwa T Pain – Love Suicide
Amewai kuja Tanzania kwa ajili ya show na hivi sasa ametoa video mpya...
-
Mwimbaji Mya akanusha vikali kutoka kimapenzi na Rapa Jay Z.
Hatimaye mwimbaji wa miondoko ya R&B wa nchini Marekani, Mya, amejibu tuhuma nzito...
-
Ukweli juu ya kilichosikika kwenye kipindi cha XXL July 02.
Jumatano July 02 kupitia kipindi cha XXL zilisikika kelele za ugomvi hewani ambazo...
-
Baada ya Sugua gaga, hii hapa nyingine kutoka kwa Shaa.
Video yake iko kwenye hatua za mwisho kukamilika lakini kwa sasa kashakua tayari...
-
Picha 5 za gari alilozawadiwa mwimbaji Linah.
Makampuni mbalimbali nchini Tanzania sasa hivi yameanza kuamka kwa nguvu kuwatumia vizuri mastaa...
-
Mabibi na Mabwana! Snura anayofuraha kuwaalika kutazama hii video yake mpya
Staa wa ‘majanga’ Snura amerudi tena kwenye screen yako na hii video mpya...
-
Kilichosemwa na Dudubaya kwa madai ya Kufukuzwa,kupitia You heard ya July 03.
Taarifa ya kuripotiwa polisi kwa Dudubaya imetoka muda mchache baada ya mwanamke wake...
-
Hatimaye video ya Kerewa ya @ShettaTz imefika huku.
Moja ya malengo ya Shetta kwenda kufanya video nje ya Tanzania yameanza kutimia...
-
Jinsi Beyonce alivyobadilisha mistari ya wimbo wake jukwaani kufuatia matatizo ya ndoa yake.
Wanandoa Beyonce na Jay Z wamekuwa wakipambana na uvumi kuwa sasa ndoa yao...
-
Malalamiko ya Shilole kuhusu Dj wa Club anayetaka kumdhulumu Laptop yake.
Kutoka kwa Soudy Brown kupitia You heard ya leo Shilole amelalamika juu ya...
-
Single mpya ya Madee umeipata?inaitwa Ni sheedah isikilize hapa.
Kwa mfumo wa muziki wa Madee huu anauita muziki wa Kwata ambao ni...
-
Jinsi Facebook ilivyowafanyia utafiti wa kisaikolojia watumiaji bila kuwajulisha.
Mtandao wa kijamii wa Facebook umelaumiwa kwa kuwafanyia wateja wake utafiti wa kisaikolojia...
-
Zawadi kutoka kwa Barakah Da Prince – Sio Fine
Kutoka Mwanza anaitwa Barakah Da Prince Mwanzoni ulimsikia na wimbo wa Jichunge ambao...
-
Justin Bieber awashangaza mashabiki wake kwa kupost “Selfie” hii bila nguo.
Nyota wa muziki Justin Bieber amewaacha kwenye mshangao mashabiki wake baada ya kupost...
-
Kauli ya TID kwa Ray C na alichokisema baada ya kuibuka maswali juu ya kauli hiyo.
June 30 kupitia mtandao wa kijamii wa instagram kwenye akaunti ya Tid alipost...
-
Umesikia hii inayohusu mkataba wa Young Killer na meneja wake Mona Gangstar??
Mkataba wa Young Killer na Meneja wake ambaye pia ni Producer wake Mona...
-
Hiki ndicho kiasi kilichotumika kuikamilisha video ya wimbo wa Kerewa wa Shettah.
Muziki wa Tanzania kwa sasa umetoa ajira kwa vijana wengi ambao baadhi yao...
-
Huu ni wimbo mpya wa Chris Brown ft Usher & Rick Ross – New Flame
Baada ya kurudi kwa show ya BET awards Chris Breezy ametoa wimbo mpya...
-
Ume-miss kazi za rapper Mase?…hii ni video yake mpya.
Ukitaja majina ya original Bad boys basi huwezi kuliacha jina la Mase ambaye...
-
Hii ni orodha mpya ya Forbes ya mastaa wenye nguvu zaidi duniani na pesa walizoingiza.
Mtandao wa Forbes ambao unaaminika kwa kutoa orodha za uhakika kuhusu mastaa na...
-
Taarifa ya rapa DNA kuondoka Grand Pa Records.
Mtandao wa Ghafla Kenya umeripoti kuwa, baada ya kudumu na Lebo yake kubwa...
-
Hivi ndivyo trend ya #Suarezing ilivyokuwa kubwa mtandaoni.
Baada ya kumng’ata mchezaji mwenzake, Luis Suarez amegeuka kuwa mchezaji anayetrend sana au...
-
Mrembo aliyeteuliwa kuigiza maisha ya marehemu Aaliyah aikacha dili yenyewe.
Staa wa Disney channel Zendaya Coleman ameitosa dili ya kuigiza filamu ya maisha...
-
Mwalimu aliyeshinda milioni 3 kwa kutabiri Suarez kumng’ata mtu.
Mwalimu mmoja kutoka Sweden ambaye ni shabiki wa mpira ameshinda zaidi ya shilingi...