Habari za Mastaa
-
Wema Sepetu na Diamond wamerudi tena??? hii video kaipost Wema leo
Wema Sepetu amepost hii video kwenye page yake ya Instagram na kuandika, “In...
-
Kutana na mtoto mwenye umri wa miaka 6 analipwa zaidi ya milioni 12 kwa wiki
Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ambaye anahusika kwenye series ya comedy ambayo...
-
Kama ulizisoma za Magazeti na Mtandaoni, Baba Kanumba anasema haya ndio yake kuhusu Lulu.
January 7 2014 ilitoka stori ya mwigizaji Lulu ikihusu alichokiandika kwenye page yake...
-
Kwa unaependa muziki wa Jamaica, tazama video zao 10 kali hapa.
Hii Top 10 ya video za Jamaica leo inatoka Trace TV, kituo cha...
-
Ajirekodi video akiimba wimbo mmoja kila siku kwa muda wa miaka 3.
Matt Perren kijana mdogo ametumia karibia kila siku kwa muda wa miaka mitatu...
-
Najua ukimya wa Mwasiti @MwasitiJ ulichukua headlines, zipokee hizi kwa sasa.
Naambiwa hii single mpya ya Mwasiti itawafikia Watanzania wote na fans wake kwa...
-
Beyonce nomaa eeeh?!! tazama alichofanya mtoto wa miaka minne wa The Game kwenye ‘drunk in love’
Uzito wa Beyonce kumiliki headlines haupo kwenye Radio, TV au mitandao peke yake…....
-
Hii hapa ni ratiba ya movie kuanzia January 10 hadi January 11.
Moja ya movie mpya zitakazoanza kuonyeshwa wiki hii ni The family na hapa...
-
Isikilize hapa You heard ya leo
Soud Brown leo ame-amplify biashara mpya anayoifanya Kalapina mara baada ya kukimbiwa jukwaani...
-
Hii ni ya kesho Ijumaa Dar es salaam mtu wangu! @bballkitaa @IamNchaKALIH
kwa wale ambao hawafahamu ni kwamba ni BBALL KITAA ambalo ni jukwaa la...
-
Pale mtoto wa miaka 12 alipoitwa na Jay Z kwenye stage, akachana!
Ni mtoto wa miaka 12 anaitwa Justin Kyler ambae aliingia kwenye show ya...
-
Picha za gari aina ya Bentley la Fally Ipupa baada ya kupata nalo ajali.
Msanii Fally Ipupa amepata ajali na gari lake aina ya Bentley huko Kinshasa...
-
Wajue watu maarufu Tanzania ambao picha zao na majina vilitafutwa sana kwenye mtandao mwaka 2013
Google trends imetoa list ya majina/maneno ambayo yametafutwa sana kwenye mtandao wa google...
-
P. Diddy anafungua mwaka kwa style hii kwenye upande wa biashara.
Sean “Diddy” Combs anaunza mwaka mpya kwa ku-sign dili la kinywaji cha gharama...
-
Itazame hapa video iliyomfanya msanii Jaguar wa Kenya kwenda gerezani.
Kwanza zilianza kusambaa picha ambazo zilimuonyesha Jaguar akiwa gerezani ambapo ilifahamika kwamba Jaguar...
-
Wale wa Diamond Platnumz, ujenzi wa nyumba yake unaendelea… kapost hii picha leo
Ni staa ambae kila jicho la habari limekua likimuangalia kila wakati, kila anachofanya...
-
Picha za utengenezaji wa video ya “Nje ya box” Joh Makini alivyotupia sasa
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video ya ‘nje ya box’...
-
Huyu ndiye anaweza kuwa mrithi wa Chris Brown kwa Rihanna?
Badgalriri kama anavyojiita kwenye instagram ameweka wazi hisia zake juu ya huyu jamaa...
-
Picha na alichoandika muigizaji Lulu siku ya birthday ya Mama Kanumba.
Mama Kanumba atakuwa ametimiza miaka kadhaa hivi sasa na amepokea zawadi ya keki...
-
Unaijua gharama ya video ya “My Number One Remix”?
Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix...
-
Picha za kwanza zinazomuonyesha msanii Mez B jinsi alivyochomwa visu na mtu asiejulikana.
Taarifa za msanii Mez B kushambuliwa na mtu asiemfahamu wala kuwa na ugomvi...
-
Making the video ya rapper @Wakazi Kariakoo na town Dsm.
HEFEMI Studios ambayo ni kampuni ya Mtanzania anaeishi Marekani ndio inahusika kuifanya hii...
-
Tumia dakika zako 4 kutazama alichofanya Jokate kwenye hii movie mpya.
Najua baada ya taarifa kutoka kila shabiki au anaemfatilia Jokate alipata hamu ya...
-
Kuhusu msanii Mez B kuchomwa kisu
Msanii wa Chemba Squad Mez B Jumamosi iliyopita amechomwa kisu na watu asi0wafahamu...
-
Hatimae, ile video ya Diamond na Davido imetoka… iko hapa
Ni zaidi ya wiki 6 toka zimeanza kuenea stori za Diamond kufanya kolabo...