Michezo
-
AUDIO: Farid Musa kutoka Tenerife Hispania wachezaji wanapimwa Corona
Mtanzania Farid Musa anayecheza club ya Tenerife ya Hispania leo ameongea na AyoTV...
-
VIDEO: Msuva katuonesha umahiri wa kucheza Sudden ya Tekno
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na club ya Difaa...
-
Adam Salamba aeleza sababu ya kushindwa kung’aa Simba SC
AyoTV leo ipo nae kwenye exclusive interview mchezaji wa zamani wa Simba SC...
-
Mchezaji wa Kitanzania “Soka Sweden halilipi, nilifungwa jela huo uzushi?”
Leo kwenye countdown pia tunae Mtanzania Yussuf Abbas Soka ambaye kwa muda mrefu...
-
Son Heung-min amaliza mafunzo ya kijeshi South Korea
Staa wa Tottenham Hotspurs Son Heung-min ,27, amemaliza mafunzo ya kijeshi kwa mujibu...
-
Mchezaji soka Ufaransa aingia matatizoni kwa kujichua
Winga wa kimataifa wa Algeria Farid El Melali ,22, anayeichezea club ya Angers...
-
Paulo Dybala apona corona
Staa wa Juventus Paulo Dybala amepona virusi vya corona baada ya kusumbuliwa kwa...
-
Bundesliga kurejea rasmi May 22
Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) sasa itarejea May 22 na sio 15 kama...
-
Ronaldo awasili Italia na kufikia karantini siku 14
Mshambuliaji wa Juventus ya Italia Cristiano Ronaldo amerejea Turin Italia kwa ajili ya...
-
VIDEO: Waziri Mwakyembe aishauri TFF iombe pesa kutoka FIFA
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwakyembe katika mahojiano yake...
-
Solomon Kalou asimamishwa na Hertha Berlin kisa kupeana mkono
Club ya Hertha Berlin ya nchini Ujerumani imemsimamisha mshambuliaji wake wa kimataifa wa...
-
Ujerumani mkikutwa zaidi ya wawili na hamuishi nyumba moja faini Tsh laki 7
Mtanzania Emily Mgeta anayecheza soka katika club ya SV Endingen inayoshiriki Ligi daraja...
-
AUDIO: Azam FC wataka Ligi irejee lakini ichezwe viwanja huru (Neutral Ground)
Ikiwa ni siku moja imepita toka Rais Dr John Pombe Magufuli atangaze kuwa...
-
VIDEO: Mbrazil wa Simba SC Fraga atimiza miaka ya ndoa na Eduarda Franca
Kiungo wa Simba SC raia wa Brazil Gerson Fraga leo ametimiza miaka 6...
-
Hakuna namna ambayo EPL inaweza kurejea na mashabiki
Mwenyekiti wa chama cha soka England FA Greg Clarke amesema hatarajii kuona mashabiki...
-
LaLiga kurejea kwa tahadhari kubwa/wachezaji kukaa karantini
Ligi Kuu Hispania LaLiga leo Jumatatu ya May 4 Wachezaji wameanza mazoezi binafsi...
-
VIDEO: Ushauri wa Niyonzima wa Yanga kwa Waziri Mwakyembe
Kiungo wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima anayeichezea Yanga SC alifanya mahojiano maalum...
-
UEFA Champions League kumuondoa Kevin De Bruyne Man City
Kiugo wa Man Cuty raia wa Ubelgiji Kevin De Bruyne anaweza kuondoka Man...
-
Marcelo akana kumfuata Ronaldo
Beki wa Real Madrid Marcelo amekanusha taarifa kuwa yuko mbioni kundoka Real Madrid...
-
Club zimepiga kura Serie A iendelee mpaka kieleweke
Wakati kukiwa na sintofahamu juu ya kumalizika au kutomalizika kwa misimu ya soka...
-
Bundesliga mashakani, club ya Cologne yakuta watatu wana corona
Uwezekano wa kurejea kwa Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) inawezekana ukawa mashakani baada...
-
Ronaldinho aliwekewa kipengele cha kwenda Night Club mara 2 kwa wiki
Mshambuliaji wa zamani wa club ya FC Barcelona na Flamengo Ronaldinho Gaucho imegundulika...
-
Trippier kukumbana na adhabu kisa betting
Beki wa Atletico Madrid Kieran Trippier atakumbana na adhabu ya kufungiwa kujihusisha na...
-
TOP 7: Wachezaji 7 Duniani waliowahi kukataliwa/kufeli majaribio na baadae kugeuka mashujaa
Leo naomba nikusogezee list ya wachezaji soka saba ambao kwenye maisha yao ya...
-
Beki wa Tunisia ahukumiwa kwenda jela
Beki wa zamani wa club ya Zamalek ya Misri Hamdi Nagguez ,27, amehukumiwa...