Michezo
-
Ronaldinho aliwekewa kipengele cha kwenda Night Club mara 2 kwa wiki
Mshambuliaji wa zamani wa club ya FC Barcelona na Flamengo Ronaldinho Gaucho imegundulika...
-
Trippier kukumbana na adhabu kisa betting
Beki wa Atletico Madrid Kieran Trippier atakumbana na adhabu ya kufungiwa kujihusisha na...
-
TOP 7: Wachezaji 7 Duniani waliowahi kukataliwa/kufeli majaribio na baadae kugeuka mashujaa
Leo naomba nikusogezee list ya wachezaji soka saba ambao kwenye maisha yao ya...
-
Beki wa Tunisia ahukumiwa kwenda jela
Beki wa zamani wa club ya Zamalek ya Misri Hamdi Nagguez ,27, amehukumiwa...
-
VIDEO: Baada ya Ligue 1, Ligi Kuu Kenya kufutwa Niyonzima ana ushauri huu VPL
Leo Ligi Kuu ya Ufaransa imeitangaza rasmi club ya PSG kama Mabingwa wa...
-
PSG mabingwa wa Ligue 1 2019/20
Shirikisho la soka Ufaransa (LFP) limetangaza rasmi kuwa club ya Paris Saint Germain...
-
Eto’o afichua Messi aliwahi kumshauri
Nahodh wa FC Barcelona Lionel Messi alimshukuru Samuel Eto’o kwa ushauri wake mzuri...
-
Balotelli aeleza sababu za kuikataa Juventus 2013
Mshambuliaji wa zamani wa Man City Mario Balotelli ameweka wazi kuwa alikuwa mbioni...
-
Mama wa Bibi yake Fabregas apona corona
Kiungo wa zamani wa Arsenal na Chelsea anayecheza AS Monaco ya Ufaransa kwa...
-
Miaka 38 kitandani, mke wa staa wa soka hajakata tamaa na mumewe
Jean-Pierre Adam ni mwanasoka wa zamani wa club za Nice na PSG alizaliwa...
-
Dybala aendelea kuteswa na corona wiki ya 6
Staa wa Juventus Paulo Dybala ameripotiwa kupimwa corona mara nne ndani ya wiki...
-
Niyonzima aoa mke wa pili
Imeripotiwa na mtandao wa inyarwanda.com kuwa kiungo wa Yanga SC na timu ya...
-
Waziri mkuu afuta michezo Ufaransa
Ligi Kuu ya Ufaransa imefutwa rasmi kwa msimu wa 2019/20 baada ya waziri...
-
Ronaldinho afunguka kwa mara ya kwanza toka akamatwe
Staa wa zamani wa FC Barcelona na AC Milan Ronaldinho amefanya mahojiano kwa...
-
Ronaldo kurejea Italia Jumanne
Staa wa Juventus na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo atarejea Italia...
-
Andre Villas-Boas hataki tena kuisikia EPL
Kocha wa zamanj wa club ya Chelsea ya England ambaye kwa sasa anaifundisha...
-
EPL kurejea bado ni kitendawili
Mashabiki wa club za Ligi Kuu England kwa sasa wameanza kutoa presha kubwa...
-
Fabregas asamehe mshahara wa miezi minne Monaco
Kiungo wa zamani wa Chelsea na Arsenal raia wa Hispania Cesc Fabregas ameripotiwa...
-
AUDIO: Lockdown Morocco wote ndani, Msuva vipi anakatwa mshahara?
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na club ya Difaa...
-
Messi hajakubaliana na Jurgen Klopp kuhusu Mane
Nahodha wa FC Barcelona Lionel Messi ametoa kauli ambayo inapingana na kura ya...
-
AUDIO: Azam FC waeleza sababu ya kumpa Chirwa mikataba mifupifupi
Club ya Azam FC kupitia afisa habari wake Thabit Zacharia @zakazakazi imetolea ufafanuzi...
-
Uholanzi wafuta msimu wa Ligi Kuu 2019/20
Chama cha soka nchini Uholanzi kimetangaza rasmi kuufuta msimu wa Ligi Kuu Uholanzi...
-
Lukaku aomba radhi kudai wenzake wanaugua corona
Mshambuliaji wa Inter Milan ya Italia Romelu Lukaku ameomba radhi kufuatia comment yake...
-
Mastaa wa Tottenham waomba radhi kwa kukiuka sheria za karantini
Mastaa wa Tottenham Hotspurs Serge Aurer raia wa Ivory Coast na Moussa Sissoko...
-
Zlatan kuendelea kujifua Sweden akisubiri hatma ya Serie A
Mshambuliaji wa AC Milan Zlatan Ibrahimovic ,38, Imeripotiwa kuwa ataendelea kusalia nchini kwao...