Michezo
-
Unalitaka goli la Chelsea vs Man City, pass success na mengine? yote yako hapa
Kuna video mbili nimeweka hapa mtu wangu lakini pia hapa unayo nafasi ya...
-
Matokeo ya Man city vs Chelsea Feb 3 2014
Najua ni mechi ambayo imetazamwa na wengi sana hasa kutokana na rekodi ya...
-
Baada ya mechi ya Yanga na Mbeya City,hiki ndicho kilichomtokea mmoja kati ya shabiki wa timu hizo.
Unaambiwa shabiki mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kukutwa na tiketi bandia...
-
Rekodi nyingine ya Azam FC
REKODI tatu za klabu na ligi zilivunjwa jana jioniambapoAzam FC ilivunja rekodi yake ya ushindi mnono baada ya kufungamagoli manne katika mechi moja, idadi hiyo ya magoli ikiwa ni kubwa zaidi msimu huu. Azam FC ikajiongezea rekodi ya pili ya kushinda mechi muhimu tena ikishinda kwa idadi kubwa ya magoli dhidi yatimu ngumu ya Kagera Sugar. Rekodi ya klbu ya Azam FC tangia kuanzishwa kwake...
-
Yaliyosemwa na mkurugenzi wa Bayern kuhusu Toni Kroos anayewindwa na Man U.
Bayern Munich wamesisitiza hawana mpango wa kumuza kiungo wao Toni Kroos kabla ya...
-
Sababu ya kuahirishwa kwa mechi ya AS Roma vs Parma
Mchezo wa mfululizo wa ligi kuu ya Italia kati ya mahasimu AS Roma...
-
Unayataka matokeo ya Mbeya City vs Yanga leo, ya Azam je?
Kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam mechi kati ya Yanga na...
-
Matokeo ya Simba na Jkt Oljoro yapo hapa.
Ile mechi iliyo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyokuwa inachezwa kati...
-
Msikilize Mbwiga leo January 31.
Kawaida ya millardayo.com ni kukuendelea kukuweka karibu na kitu ambacho ulimis pengine kulingana...
-
Unataka kujua alichosema Okwi kuhusu Sakata lake lililopo sasa hivi,kipo hapa.
Baada ya headline mbalimbali zilizokuwa zikimhusisha Kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga Emmanuel...
-
Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo January 30.
Zitumie hizi sekunde chache kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke leo January 30,aki-amplify taarifa za...
-
Tumia dakika hizi 2 kumsikiliza Mbwiga leo January 29
Mpenzi wa michezo hizi dakika mbili naomba nizitumie kukuunganisha moja kwa moja na...
-
Unaambiwa tiketi za kielektorinik leo zimegoma kufungua milango mkwakwani.
Leo Tiketi za elektronik zimeshindwa kufungua milango ya elektronik kwenye Uwanja wa Mkwakwani...
-
Matokeo ya mechi zilizochezwa January 28 yapo hapa.
Hizi ni mechi zote zilizochezwa January 28 ikiwa ni siku ya 23 kwenye...
-
Kuhusu mechi ya Man United na Cardiff matokeo yake haya hapa.
Kiungo mpya wa Man United Juan Mata ameonekana kuingia na baraka kwa kuingoza...
-
Baada ya kutoonekana dimbani kwa miezi kadhaa,sasa Chuji arejea tena uwanjani.
Leo Kiungo wa ulinzi kutoka timu ya Yanga Athuman Idd Athuman maarufu kama...
-
Msikilize Mbwiga leo January 28
Naomba nikuunganishe moja kwa moja kwa Mbwiga na uzitumie hizi dakika 2 kusikiliza...
-
Unatamani kujua mapato yaliyopatikana kwa Mechi zilizowahusisha Simba na Yanga?haya hapa
Unaambiwa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom ‘VPL’ zilizohusisha timu za Simba na...
-
Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo January 27.
Huyu ni Mbwiga wa Mbwiguke kutoka kwenye team ya Sports Extra hapa anasema...
-
Matokeo ya Simba na Rhino Rangers haya hapa.
Mechi kati Simba na Rhino Rangers imemalizika kwa ushindi wa goli 1 la...
-
Matokeo ya Yanga na Ashanti haya hapa.
Mechi kati ya Yanga na Ashanti United imemalizika,kwa Yanga hii dalili nzuri kwao...
-
Mechi kati ya Liverpool v/s Bournemouth yakamilika.
Mechi kati ya Afc Bournemouth v/s Liverpool imekamilika kwa Liverpool kushinda mbili huku...
-
Msikilize Mbwiga leo Jan 24
Zitumie hizi dakika 4 kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke akiwa live studio akiongelea michezo,na...
-
Hii ni ya shabiki wa Manchester United aliepiga simu polisi
Mlevi mmoja huko Uingereza ambae ni shabiki wa Manchester United amepiga simu...
-
Hiki ndicho walichokisema Yanga baada ya TFF kumsimamisha Okwi.
Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka hadharani ukweli kuhusiana na usajili wa mshambuliaji...