Mix
-
Waziri Jafo amewataka viongozi Kutembelea miradi mbalimbali
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo amesisitiza Viongozi na...
-
VIDEO:Aliempiga Francis Cheka kapewa shavu hili na DC Jokate Mwegelo
Ni bondia Dulla Mbabe ambae mnamo Dec 26, 2018 ailingia kwenye headlines kwenye...
-
Waziri Jafo apongeza Ujenzi ofisi za halmashauri – KIBITI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo amewapongeza viongozi wa Wilaya...
-
Mbowe na Matiko walivyorudishwa Mahakamani baada ya Mwaka Mpya (+video)
Leo January 3, 2019 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime...
-
Rufaa ya Mbowe na Matiko: Mahakama yatoa majibu baada ya Profesa Safari kuhoji (+video)
Wakati Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko...
-
Waziri Jafo akerwa na uzembe watumishi Kilosa Morogoro
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo ameonyesha kukerwa sana na...
-
EXCLUSIVE: Alietengeneza wimbo wa RC ‘Sukuma ndani’,’Jifanye unajikuna’ kafunguka
Headlines za mkuu wa mkoa wa Tabora, Agrey Mwanri bado zinaendelea kuchukua vichwa vya...
-
Kesi ya Malinzi: Ilichokifanya Mahakama kuhusu ushahidi wa siku tatu (+video)
Leo January 2, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kusikiliza ushahidi wa...
-
Hii ndio mikoa inayoongoza watu wake kujichubua (Wanatumia Mkorogo)
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imezungumzia jinsi inavyodhibiti biashara za vipodozi kwa kufanya...
-
“Fataki zipigwe kwa sekunde 300 tu” la sivyo utakesha na Mambosasa (+video)
Kamanda wa Polisi Kanda Maluum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema...
-
LIVE: Salamu za Askofu Kakobe Mbele ya RC MAKONDA, ”Wanajua mimi ni Mkosoaji’
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Leo December 26 2018...
-
Watanzania Milioni 30 wanavyokosa Maji Vijijini, Serikali yatoa kauli (+video)
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amesema serikali imepewa jukumu la...
-
Anayedaiwa kumhonga Waziri Lukuvi Milioni 90 alivyoachiwa huru (+video)
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemuachia huru, Mohamed Kiluwa (50) aliyekuwa akikabiliwa na...
-
Tabu wanayokutuna nayo Wasafiri stendi Ubungo (+video)
Leo December 22, 2018 tunayo story kutokea Kituo cha Mabasi yaendayo mkoani Ubungo,...
-
Miss Tanzania ajitetea kushindwa Miss World “Nchi yangu haikutimiza wajibu wao” (+video)
Miss Tanzania, Queen Elizabeth Makune amefunguka sababu za kushindwa kuchukua taji la Miss...
-
Waliomlawiti Mwanachuo na kumdai pesa wafikishwa mahakamani (+video)
Mfanyabiashara Samsoni Kisuguta (28) na Mwanafunzi wa Chuo cha Ardhi, Anna Mwaisumo (23) wamefikishwa...
-
HAPATOSHI DSM: Vyama vitano vimejitokeza Uchaguzi Magomeni
Leo December 20, 2018 Msimamizi Msaidizi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),...
-
MGOGORO WA CUF: Maalim Seif afunguka uamuzi utakaotolewa na mahakama
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema hawatavumilia uvunjani wa haki...
-
Chama cha Wanawake wafanyabiashara Tanzania (TWCC), kimepewa fursa mpya
BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara na ambao imeorodhesha kwenye...
-
Watanzania wanaendelea kumiliki usafiri/biashara
Zuberi Maeda mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa Kiterini, Moshi alibahatika kuibuka...
-
“Kujieleza kwa Kiingereza ni changamoto kwa Mawakili, hawawezi kukwepa” JAJI MKUU
Wakati Mawakili 909 nchini Tanzania wakihitimu leo December 14, 2018 Jaji Mkuu, Profesa...
-
Ile kesi ya Wema Sepetu yafikisha siku 42, mahakama yaelezwa upelelezi (+video)
Kesi ya kusambaza picha za ngono kupitia mtandao wa Instagram inayomkabili msanii Wema...
-
Agizo la Rais Magufuli kuhusu Machinga linavyotekelezwa soko la Mwenge(+video)
Baada ya Rais John Magufuli kutangaza kutoa vitambulisho 670,000 kwa Machinga, mchakato huo...
-
EXCLUSIVE: Miss Tanzania afunguka baada ya kutoka Miss World, azungumzia alichokipata
Tunayo Exclusive story kutokea kwa Miss Tanzania, QueenElizabeth Makune ambapo amezungumza kwa mara...
-
Madini ya BILIONI 2 yataifishwa na mahakama, waliokutwa nayo wahukumiwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru madini yenye thamani ya Sh. Bilioni 2.5...