Top Stories
-
LIVE:Mbunge wa Hai Saasisha anazungumza na waandishi wa habari muda huu
Mbunge wa jimbo la Hai Saasisha Mafuwe anazungumza na waandishi wa habari ofisini...
-
Katibu Mkuu UN ahimiza chanjo ya corona Afrika
Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametoa wito kuwa kusiwepo na upendeleo...
-
Magaidi wa Msumbiji wanakufa njaa
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Musumbiji Bernadino Rafael amesema magaidi katika Mkoa...
-
Google yatoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi 2020 Kenya
Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani...
-
Marekani yaidhinisha matumizi ya dharura ya chanjo ya Pfizer
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA) imeidhinisha matumizi ya dharura ya...
-
“Kampuni za kubet zichangie ustawi wa timu ya Taifa” Bashungwa
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema kuwa mambo yote mazuri...
-
RC awacharukia Wakurugenzi “marufuku kutumia fedha za Halmashauri” (+video)
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati ameagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu...
-
DAS ashauri wanawake nao walipe mahari (+video)
Katibu Tawala wa wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera, Kadole Kilugala, amesema kuwa kama...
-
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 12, 2020
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo Decembwr 12,...
-
Majaliwa amuombea nafasi ya pili aliyeshindwa kuapa
“Wizara sasa imepata watu ambao wanaifahamu, eneo hili mh rais sio eneo la...
-
Kauli ya Ndugai kwa Wabungu wateule wa ACT Wazalendo ambao hawajaapishwa (+video)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amemuapisha Prof....
-
Sabaya ambananisha kigogo aliechukua hela za Walimu, wanatoa Mamilioni hazirudi (+video)
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amemuweka ndani Mtumishi wa Serikali...
-
DRC: Wabunge wamuondoa Spika
Spika wa bunge la DRC, Jeanine Mabunda ameondolewa katika nafasi yake baada ya...
-
Mama Salma asimulia alivyomsumbua Kikwete akita kumuoa”alinunulia embe” (+video)
Mke wa Rais Mstaafu Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Mchinga, Lindi, Mama...
-
Mwigizaji Tommy afariki dunia
Mwigizaji Tommy Lister maarufu ‘Tiny’ amefariki dunia, imeripotiwa kwamba alikutwa akiwa na hali...
-
Askari wawili na wafanyabiashara wafunguliwa mashtaka kutorosha dhahabu
Polisi wawili na wafanyabiashara wakubwa wa madini wawili na mchimbaji mdogo wa madini...
-
Rais Magufuli ateua Mbunge na kumpa Unaibu Waziri
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof....
-
Mkurugenzi asimamishwa kazi na Waziri Jumaa Aweso
Mkurugenzi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), David Palangyo amekuwa...
-
IGP Sirro alivyotekeleza maagizo ya Rais Magufuli
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro ametekeleza agizo la Rais John Magufuli...
-
Wahudumu wa ndege watakiwa kuvaa diapers
Mamlaka ya anga ya China imezua mijadala baada ya kutoa maelekezo ya njia...
-
Naibu Waziri kuanza na Whatsapp na Instagram “tuwe na platform zetu”
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Andrea Kundo amesema Wizara yake...
-
Maalim Seif awajibu wanaosema anataka ving’ora (+picha)
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim...
-
“Sitaki ujinga, wahuni mtajua sitaki uanaharamu” IGP sirro awa mbogo (+video)
IGP Simon Sirro akizungumza na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kelema wilaya...
-
Majambazi walioiba Milioni 7 na simu saba wauawa (+video)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kumuua jambazi mmoja...
-
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 11, 2020
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo Decembwr 11,...