Mahakama yaamuru dereva wa Mabasi aliyetrend alipwe Milioni 150, ‘Mdaiwa alitumia picha yake’
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance…
Gwajima amvaa Tunda Man, ataka Simba SC waombe radhi, ‘Tukio la kuingia na Jeneza Simba day’
Baada ya Msanii wa Bongo Fleva, Tunda Man kuingia na Jeneza katika…
Sasa zimebaki asilimia 33 kukamilisha bwawa la Nyerere la kufua Umeme
Ni Waziri wa Nishati, January Makamba ambae amesema Ujenzi wa Bwawa la…
Ruto anaongoza kwa Asilimia 50.85
Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Kenya uliofanyika jana, yanaonyesha mgombea…
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
Uongozi wa Str8up Vibes ambao ndiyo Waandaaji wa Tamasha la Summer Amplified…
Nane Nane Morogoro, Shaka apongeza jitihada za Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Katibu wa NEC itikadi na uenezi chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu…
Mfahamu Panya Kennedy anayebeba Camera kama Binadamu ‘Anarekodi Matukio vitani’ (video+)
Baada ya Panya Magawa kufariki mwanzoni mwa Mwaka huu huko nchini Cambodia …
Video: Kinyozi ahukumiwa Jela miaka 30, kosa kumpa mimba Mwanafunzi
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha miaka 30 Batista Ngwale…
RC Chalamila awaacha hoi Watumishi, ‘Nilikuwa likizo fupi, nimekuwa mpya’
Ni Mkuu Mpya wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila akiongea na Watumishi…
Diwani CHADEMA na wenzake waachiwa kesi ya mauaji
Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, imemuachia huru aliyekuwa Diwani wa Kata ya Isengule,…