Top Stories
-
LIVE KUTOKA LEADERS: Mwili wa Agness Masogange unavyoagwa
Muda huu kupitia AyoTV tupo LIVE Mwili Agnes Gerald unaagwa katika viwanja wa Leaders...
-
“Kaanze kumtukana Babako” -Polepole
Leo April 22, 2018 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi,...
-
LIVE: Mwili wa marehemu Agness Masongange ukitolewa Muhimbili
Muda huu kupitia AyoTV tupo LIVE Hospital ya Taifa ya Muhimbili ambapo mwili...
-
Waziri amemsimamisha kazi Mkurugenzi Bodi ya Korosho
Waziri wa wizara ya kilimo Dr. Charles Tizeba amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara...
-
BABA WA MASOGANGE: Amezungumza tusiyoyajua, simu ya mwisho siku ya kifo
Mzee Gerald Waya ni Baba mzazi wa Agnes Gerald ‘Masogange’ amezungumza na AyoTV...
-
PICHA 7: Muonekano wa nyumbani kwa kina ‘Masogange’ yatakapofanyika mazishi
Leo April 21, 2018 Mwili wa Video Vixen maarufu nchini, Agness Gerald ‘Masogange‘utaagwa...
-
“Sitaki kuona Askari ana kitambi, Kamishna akiapishwa ahakikishe hili” Dr. Kigwangalla
Leo April 21, 2018 ilikuwa ni siku ambayo yamefanyika mashindano ya 11 ya...
-
Mkuu wa Jeshi Sudan Kusini afariki dunia
Kutoka Sudan Kusini, Mkuu wa Jeshi la nchi hiyo General James Ajongo amefariki jana...
-
Kauli ya Waziri Makamba kuhusu wanaokosoa muungano
Aprili 21, 2018 Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na...
-
Mbwa atunukiwa ‘tuzo ya polisi ya heshima’ kwa kumlinda mtoto aliyepotea
Kisa kimoja kimezua hisia huko nchini Australia baada ya mbwa mmoja mzee aitwaje Max kukaa na...
-
Barua iliyoandikwa na ACT Wazalendo kwa Spika Ndugai
Leo April 21, 2018 Chama cha ACT Wazalendo kimeandika barua kwa Spika Wabunge...
-
Ajali za mfululizo zilizoua watalii wa Kijerumani Peru
Basi dogo limeacha njia na kuanguka kwenye korongo katika Mlima Peru na kuua watalii wawili wa...
-
Kifaa cha kupandikizwa kwenye ngozi kugundua saratani chagundulika
Kifaa kipya kimegundulika ambacho kitapandikizwa kwenye ngozi ya binadamu ili kusaidia kubaini kama...
-
Rais wa Korea amesitisha utengenezwaji wa Nuklia
Leo April 21, 2018 Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amefanya uamuzi kusitisha...
-
Alichofanya Mbunge wa Monduli baada ya Kaya na Mifugo 1000 kuharibiwa na mvua
Kutoka mkoani Arusha leo April 21, 2018 nikusogezee stori kumhusu Mbunge wa jimbo...
-
Wanafunzi wakaribishwa chuo kwa kulishwa kinyesi
Leo April 21, 2018 stori ninayokusogezea ni kutoka nchin Msumbiji ambapo Wanafunzi wa...
-
Kilichosababisha wananchi kuandamana Afrika Kusini, Ramaphosa akiwa safarini
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amekatisha safari yake ya kushiriki kwenye Mkutano...
-
Uteuzi alioufanya Rais Magufuli muda huu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Msalika...
-
“Wananchi wanapata shida sana, kila mara naliongelea hili” –Bonnah Kaluwa
Mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa ameleleza Bunge akiwemo waziri wa Afya, Ustawi wa...
-
MSIBA WA MASOGANGE: Belle 9 amezungumza cha mwisho walichoongea
Msanii Bell 9 amezungumza kwenye Ayo Tv kuhusiana na msiba wa Agness Masogange...
-
Mwanamke Muislamu akataliwa uraia kwa kukataa ‘kupeana mikono’ na viongozi
Mahakama ya juu ya kiutawala nchini Ufaransa imekataa kumpa uraia mwanamke mmoja wa asili ya Algeria...
-
Mwanamke aua wanae na yeye ajinyonga kwa madai ya mumewe ana ‘hawara’
Mwanamke mmoja amejiua baada ya kuua watoto wake wawili, mmoja wa miaka sita...
-
Watu 10,000 wahamishwa Berlin ili kuteguliwa bomu la vita ya pili ya dunia
Wakazi na wafanyakazi takribani 10,000 wa eneo la Berlin nchini Ujerumani wanatakiwa kuondoka...
-
PICHA 10: Mwili wa Agnes Masogange ukipelekwa Muhimbili
Mwili wa aliyekuwa Video Vixen Agnes Gerald (Masogange) tayari umetolewa katika Hospitali ya...
-
Askari waliokamatwa tukio la AKWILINA wameachiwa huru, jalada limefungwa
Leo April 2018 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi...