Top Stories
-
Tundu Lissu na headlines za mgombea Urais UKAWA ( + audio)
Ni mamilioni ya Watanzania sasa hivi wako kwenye subira ya kujua ni mgombea...
-
Kama ulipitwa, huu ndio uthibitisho mwingine wa Godwin Gondwe kugombea Ubunge Mwanza..
October 25 2015 ni siku ya Uchaguzi Mkuu ambapo Watanzania watachagua Rais, Wabunge...
-
Hizi ndio sababu zilizofanya Saed Kubenea agombee Ubunge, na ajiunge CHADEMA… (Audio & Pichaz)
July 21 2015 siku imebebwa na headlines nyingine za Siasa, jina la Saed...
-
Maneno ya Mbunge James Lembeli alivyotangaza kuhama CCM kwenda CHADEMA leo July 21 2015… (Audio)
2015 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, kila siku stori za Siasa zimekuwa...
-
Steve Nyerere, Mkubwa Fella wamechukua fomu zao, Wema Sepetu je? Mcheki hapa..(Pichaz)
Leo July 16 2015 Staa wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika Ofisi za CCM...
-
Steve Nyerere alivyosindikizwa na watu wake kuchukua Fomu ya Ubunge Kinondoni (Pichaz)
Chama cha CCM kilitangaza kwamba wameanza rasmi kutoa Fomu kwa wale wanaogombea nafasi...
-
Kwa kujiamini kabisa, huyu Meya kamuita Rais Obama nyani, mkewe Sokwe.. baada ya hapo je?
Patrick Rushing ni Meya wa Mji wa Airway Heights ambao uko Washington, jamaa...
-
AyoTV: Maneno ya kwanza aliyoyatoa Dar es salaam Dr. John Magufuli baada ya kuteuliwa kuwania Urais
Kikao cha Halmashauri Kuu CCM Dodoma kikiongozwa na Mwenyekiti Rais Kikwete kilipitisha jina...
-
Ulimis? maneno ya Lowassa, Membe, Makamba na Ngeleja baada ya Top 5 ya CCM kutangazwa
Jana July 15 2015 mmoja wa Wanasiasa wakongwe Tanzania mzee Kingunge Ngombale Mwiru...
-
Stori kubwa mbili kutoka ITV >>> CUF kutoshiriki Kikao cha UKAWA, Mzee Kingunge kuhusu Mgombea wa CCM na LOWASSA..
Jana kulikuwa na Kikao cha Umoja wa Vyama vya UKAWA, lakini katika Kikao...
-
Hizi ndio sababu za CUF kutoshiriki Mkutano wa UKAWA Dar es Salaam…
Ziko stori nyingi toka jana mitandaoni, wapo waliopata taarifa pia kwamba chama cha...
-
Maneno ya Dk. Magufuli ndani ya dakika 18 baada ya kupokelewa na watu wa Dar es Salaam… (Audio)
July 14 2015 Dar es Salaaam imemkaribisha Mgombea Urais ambaye amepitishwa na CCM...
-
Haya ndio mapokezi ya Dk. John Magufuli ndani ya Dar es Salaam July 14 2015… (Pichaz)
Jina la Waziri Wa Ujenzi Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli lilipata Headlines zenye...
-
Sentensi 3 kutoka kwa Dr. Wilbroad Slaa kuhusu CCM na ubora wake.
Kwenye mkusanyiko wa stori za mitandao ndani ya siku tano zilizopita kutoka kwa...
-
AyoTV: Dakika 5 za jengo jipya la CCM Dodoma lililojengwa na Wachina.
July 2015 chama cha Mapinduzi CCM kililionyesha kwa mara ya kwanza jengo lao...
-
Uamuzi wa Rais wa Nigeria baada ya Boko Haram kuendelea kuiandama nchi yake..
Kundi la kigaidi la Boko Haram limeendelea kuua maelfu ya watu Nigeria na...
-
Hali ilivyokuwa nje ya Ukumbi MPYA wa CCM Dodoma..
Jumapili July 12 2015 Historia nyingine imeandikwa kwenye Siasa Tanzania, kutoka Makao Makuu...
-
Breaking News: Mgombea mwenza wa CCM huyu hapa…
Leo safari ya Tanzania kumpata Rais atakayewaongoza Watanzania kwa miaka 10 ijayo imeanza...
-
Kwenye watatu waliopitishwa Urais CCM matokeo ya mwisho ni haya hapa… #CCMDodoma
July 12 2015 Tanzania ilikuwa inasubiri kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na...
-
Maneno ya January Makamba baada ya kujua hakuingia 3 bora ya Urais.
January Makamba ni miongoni mwa waliojitokeza kuomba ridhaa ya chama cha mapinduzi CCM...
-
Update: Baada ya walioteuliwa tatu bora ya Urais CCM kusimama kwa dakika 15
Tayari mchujo wa pili ulitangazwa saa kadhaa zilizopita hapa Dodoma ambapo walioingia ni...
-
Hawa ndio watatu kwenye Urais wa Tanzania waliopitishwa na CCM
Updates kutoka Dodoma July 11 2015 ziko kila wakati, na zinazonifikia tu na...
-
Matukio ni mengi nje ya Ukumbi wa CCM Dodoma, cheki na haya mengine… #Pichaz
Majibu ya tatu bora kutoka kwenye list ya tano bora ya Wagombea Urais...
-
#NewUPDATE Kuhusu mchujo mwingine wa Urais CCM Kinachoendelea sasa hivi.
Ni mamilioni ya Watanzania wanasubiria kujua mchujo wa wanaowania Urais CCM umefikia wapi...
-
Video za Edward Lowassa, William Ngeleja, Bernard Membe, January Makamba baada ya mchujo wa majina matano..
Bado watu wanasubiri kusikia jina la mgombea urais ambaye atatajwa na CCM, kikao...