Top Stories
-
Aunt Ezekiel, Wolper, Shamsa Ford walivyojitokeza kwenye mkutano wa ukawa August 27
2015 ni mwaka wa headlines za Uchaguzi ambapo leo Agosti 27 Baraza la...
-
Wabunge wa upinzani Zimbabwe hawakumuacha Rais MUGABE hivi hivi…
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa...
-
Magufuli kwenye kampeni mikoani….
Wakati Ukawa wakiwa wamezuiliwa kutumia uwanja wa Jangwani uliopo Dar es Salaam kwenye...
-
Sentesi za UKAWA baada ya LOWASSA kuzuiwa kufanya ziara mitaani..
Leo James Mbatia amezungumza na Vyombo vya habari kuhusu hatma ya uzinduzi wa...
-
Polisi wazuia ziara za Lowassa zisizo rasmi Dar es Salaam….
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku wagombea wa...
-
Ulimis hotuba yote ya Magufuli kwenye siku ya kwanza ya Kampeni? ninayo video yake hapa
John Pombe Magufuli ndio amepitishwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi...
-
Hizi ni picha zingine kutoka Jangwani, Wema, Diamond, Mwana Fa wapo pia mtu wangu
Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge...
-
Picha 30 za mwanzo kutoka Jangwani katika uzinduzi wa kampeni za CCM 2015
Tanzania imeingia katika mwaka wa uchaguzi na hivi karibuni kila chama cha kisiasa...
-
Dakika 15 za Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye alivyotangaza kujiunga UKAWA.. (+Audio)
Stori za Siasa na uzito wake, zinatufikia mpya kila siku na kila mpya...
-
Mgombea wa Urais kutoka chama cha ADC arejesha fomu katika ofisi za NEC… (Picha)
Ni headline baada ya headlines zoezi la kurejesha fomu za kugombea Urais 2015...
-
Safari ya Mgombea Urais wa TLP alivyorudisha Fomu zake Ofisi ya Tume ya Uchaguzi NEC leo ..(Picha)
Ni mwaka 2015 na headlines zake za Uchaguzi Mkuu Tanzania ambapo leo baadhi...
-
Mgombea Urais Edward Lowassa alivyosindikizwa kurudisha Fomu za kugombea Urais 2015 katika ofisi za NEC… (Picha)
August 21 2015 ndio siku ambayo Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC ilitangaza...
-
Picha walivyotambulishwa mgombea urais na mgombea mwenza wa chama cha ACT Wazalendo
Najua nina watu wangu wanaopenda stori za siasa sasa stori ninayotaka kukusogezea ni...
-
Majibu ya James Mbatia kuhusu haya >> UKAWA kuzuiwa kutumia Uwanja wa Taifa, Uchaguzi na Dk. Slaa… (Audio)
James Mbatia ni mmoja wa Viongozi wa Umoja wa UKAWA, August 20 2015...
-
Ester Bulaya hakuwa na mpango wa kuhama CCM ila….
Najua nina watu wangu wanaopenda stori za siasa sasa stori ninayotaka kukusogezea ni...
-
Orodha ya Wagombea Ubunge wa CHADEMA 2015 ndio hii imetoka!
Ni 2015 ambao ni mwaka wa uchaguzi, kila chama kinachukua headlines nyingi tu...
-
Rais Kikwete kwenye ofisi za CCM Lumumba Dar es salaam leo.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni President wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania...
-
Baada ya kutoka Mbeya, Arusha imempokea hivi Lowassa leo, yeye na watu wake wa CHADEMA… (Pichaz)
Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini, baada...
-
Sentensi 6 kuhusu msafara wa Lowassa ulizuiwa Kilimanjaro na Polisi kutumia mabomu ya machozi.
Mchana wa August 13 2015 taarifa zinatoka kwamba Msafara wa mgombea Urais wa...
-
Nape Nnauye kuhusu walioihama CCM, Mbowe kuuza CHADEMA, Lipumba na Dr. Slaa, Magufuli na Laptop (+Audio)
Kinachosubiriwa sasahivi Tanzania moja ya matukio makubwa sana mwaka 2015 ni ishu ya...
-
Pichaz zilizonifikia kutoka Mbeya ambako Edward Lowassa amepokelewa leo…
Ratiba iliyotolewa na CHADEMA kuhusu safari ya Mgombea Urais wa Chama hicho, Edward...
-
Hizi ni Sababu 15 za Wema Sepetu kumhusu Waziri Magufuli..
Mastaa wa Tanzania asilimia chache wameingia kwenye headlines mbalimbali kuhusu siasa,ukiachana na Irene...
-
Kutoka makao makuu ya CHADEMA Dsm, haya ni ya leo !
Ni August 13 2015 kutoka makao makuu ya chama cha demokrasia na maendeleo...
-
Ridhiwani Kikwete kaiweka hii video ya Lowassa na kuandika haya maneno.
Hii ni post ya Ridhiwani Kikwete kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii...
-
Zilizonifikia: Msafara wa Edward Lowassa wazuiwa.
Mchana wa August 13 2015 zimenifikia taarifa kutoka mkoa wa Kilimanjaro ambapo msafara...