Uganda:Hospitali yachunguzwa tukio la maiti ya kichanga kuliwa na panya
Polisi nchini Uganda wanachunguza Hospitali ya Kitaifa ya Rufaa ya Kawempe baada…
Michael Beale amepunguza ada ya uhamisho anayopanga kumlipia Danilo
Rangers imekubali ombi la kumnunua mshambuliaji wa Feyenoord, ambaye amewaaga wachezaji wenzake…
Moldova yawafukuza wanadiplomasia 45 wa Urusi na wafanyikazi wa ubalozi
Moldova imewaamuru wanadiplomasia 45 wa Urusi na wafanyakazi wa ubalozi kuondoka, na…
Hunter Biden akana mashtaka ya uhalifu mara 2 ya ushuru
Hunter Biden alikana mashtaka ya ushuru wa shirikisho Jumatano baada ya makubaliano…
Marekani inafianya kazi njia mbadala za kusambaza nafaka nchini Ukraine-White House
Marekani na washirika wake wanafanya kazi na Kyiv katika njia mbadala za…
Watu 26 wamefariki katika ajali ya basi kaskazini mwa Senegal
Basi hilo lilikuwa likitoka katika mji wa kaskazini mwa nchi mnamo tarehe…
Idadi ya watu wanaohitaji msaada itaongezeka kufika milioni 42 hadi kufikia mwishoni mwa Agosti
Omar Touray Mwenyekiti wa Kamisheni ya Jumuiya ya Ecowas amesema katika kikao…
Odinga afutilia mbali mazungumzo na Rais William Ruto bila mpatanishi
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga aliambia AFP Jumatano kwamba hatafanya mazungumzo na…
Kundi la mamluki la Wagner linaleta tishio kubwa la usalama kwa nchi za Magharibi-Ripoti
Kundi la mamluki la Wagner, ambalo kiongozi wake aliongoza maasi ya muda…
ECOWAS na UM zalaani kuzuiwa kwa rais Bazoum na jeshi kutangaza kuchukua madaraka
Mwenyekiti wa ECOWAS, rais wa Nigeria Bola Tinubu amesema Jumuiya hiyo inafanya…