Top Stories
-
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 8, 2021
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo February 8...
-
Mwanafunzi mtanzania anayelipwa laki mbili kwa siku South Afrika (+video)
Erick Laizer ni mwanafunzi mtanzania anayesoma chuo cha African Leadership Academy kilichopo South...
-
Mtoto Antony alivyowaombea wenzake wanaoumwa “macho yanabadilika”(+video)
Mtoto Antony Petro aliye-trend kwa kumshtaki baba yake polisi akitaka kuuza shamba la...
-
Dawa asilia kupatikana katika vituo vya afya
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imeweka...
-
Watumishi Halmashauri Biharamulo kortini kwa wizi wa Tsh. Milioni 400 (+video)
Watumishi kumi na moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wamepabdishwa...
-
Mameneja wawili TANESCO wasimamishwa kwa kutokuwepo maeneo ya kazi
Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimisha kazi vigogo wawili wanaosimamia vituo vya kuzalisha...
-
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 7, 2021
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo February 7...
-
Afariki baada ya kupewa chanjo ya corona
Mwanamke mmoja wa Virginia Marekani, Drene Keyes (58), amefariki saa kadhaa baada ya...
-
Kamata kamata mafundi simu, TCRA yaingilia kati, yatoa mafunzo kwa mafundi (+video)
Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) tawi la Zanzibar imeanzisha mafunzo maalum ya kozi ya...
-
Ujauzito waharibika kisa viboko vya Mwenyekiti
Mwenyekiti wa kijiji cha Samanga Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Wilfredy Minja anadaiwa...
-
Jafo aagiza majengo yanayolipiwa kodi kukaguliwa mtaa kwa mtaa
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, amewaagiza watendaji wa mikoa kuwatambua wamiliki wa majengo...
-
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 6, 2021
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo February 6,...
-
RC asimulia msibani jinsi dereva wa RAS alivyopiga simu baada yakupata ajali
Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta ameongoza watu mbalimbali kuuaga mwili wa...
-
Hifadhi ya Serengeti kinara kwa ubora Duniani
Mtandao maarufu wa kurahisisha usafirishaji hasa wa kitalii ujulikanao kama Trip Advisor umetoa...
-
Wasanii watakaopeform Serengeti Music Festival watembelea Bunge (+picha)
Wasanii wa Bongofleva leo Ijumaa Februari 5, 2021 wametembea Bunge la Tanzania, Wasanii...
-
Wanaume wanaongoza kufariki kwa UKIMWI kuliko wanawake (+video)
Imeelezwa kuwa wanaume wenye Virusi vya UKIMWI (VVU) wanaongoza kwa kufa kutokana na...
-
Askou Gwajima Bungeni “hii haikubaliki kwa wakati wowote hapa nchini” (+video)
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ni miongoni mwa Wabunge ambao leo February...
-
“Mumeo akatafute kazi ingine” Mama amlilia Magufuli Mumewe kafukuzwa kazi (+video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amemshauri mwanamke aliyedai...
-
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 5, 2021
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo February 5,...
-
Tazama Rais Magufuli anavyoendesha gari Dodoma (+video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Dodoma leo katika uzinduzi wa...
-
Tanzania haijatajwa katika nchi zitakazopewa chanjo ya corona
Shirika la Afya duniani (WHO) limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa...
-
TAKUKURU yakabidhi zaidi ya Milioni 10 zilizotapeliwa “Daktari feki ahusika” (+video)
TAKUKURU mkoa wa Kagera imekabidhi zaidi ya shilingi milioni 10.3 kwa Mfuko wa...
-
Waziri Mkuu aipa siku 2 Wizara ya Jafo (+video)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameipa siku mbili Wizara ya TAMISEMI kufuatilia Halmashauri za...
-
Mtanzania wa kwanza kupata Medali ya Brady
Mtanzania Dkt. Joyce Singano, amekuwa Mwafrika wa kwanza kupata Brady Medal inayotolewa kwa...
-
Kauli ya Mambosasa baada ya kupewa maagizo “Serikali haitakuacha bure” (+video)
Baada ya Mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge kutoa maagizo kwa...