Michezo

Cavani, Maguire kuikosa PSG

on

Harry Maguire, Edison Cavani na Mason Greenwood ni miongoni mwa wachezaji watano wa Manchester United ambao hawajasafiri na timu hiyo kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint Germain ( PSG ).

Beki Eric Bailly na kiungo Jesse Lingard watakosekana kutokana na majeraha waliyopata katika michezo mbalimbali.

Usajili mpya, Cavani bado hajawa fiti kucheza mchezo huo na alifanya mazoezi na kikosi hicho jumapilii pekee na baada ya hapo alilazimika kujitenga kutokana na hofu ya virusi vya corona.

NYUMBANI KWA MENGI, MAFURIKO YALIVYOHARIBU VITU VYA TAHAMANI, JACQUELINE AHUZUNIKA

Soma na hizi

Tupia Comments