Videos

Kama ulitamani kupata picha video ya Cassim Mganga na Christian Bella itatokea vipi

on

Wakati unaisubiri video nzima itoke Ijumaa ya November 27 2015, millardayo.com imepata time ya kusogezewa kipande cha sekunde 15 kuonjeshwa tu kitakachokuwemo kwenye video mpya ya Kassim Mganga aliyomshirikisha Christian Bella, bonyeza play hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments