Habari za Mastaa

Time ya kuona PICHAZ ‘Mapinduzi ya Muziki wa Dansi’.. Hizi 20 zote kutoka Escape 1 DAR

on

DSC_6291

Labda hukupata nafasi kuwa mmoja ya waliohudhuria show ya nguvu juzi pale Escape 1 DAR.. Ilikuwa kali sana yani, pata picha Christian Bella, Ruby, Ali Kiba, Kassim Mganga, Ommy DimpozMsami, na Alicious toka +254 Kenya.. WOTE kwenye stage moja.

Mapinduzi ya Muziki wa Dansi burudani nyingine ya kuiona kwenye hizi PICHAZ mtu wangu..
DSC_6090

DSC_6097

Kikosi Kazi cha Malaika Band wakiangusha burudani Escape 1.

DSC_6123

DSC_6138

Christian Bella

DSC_6141

DSC_6147

DSC_6160

Mrembo na mkali mwingine Bongoflevani, Ruby.

DSC_6162

Time ya melodies yani.. Hapa Christian Bella, hapa Ruby.

DSC_6184

Kassim Mganga.

DSC_6209

Fans hawakutaka wapitwe na kitu aisee.. Hapa karibu kabisa na stage

DSC_6211

Msami

DSC_6216

Msami na dancers wake hapo

DSC_6235

DSC_6291

Karibu mgeni wetu. Kwenye stage ni Alicious na Ruby.. ilipendeza kiukweli.

DSC_6314

DSC_6317

Christian Bella na timu ya dancers wake kwa mara nyingine tena

DSC_6349

DSC_6352

Ommy Dimpoz na mtu wake wa nguvu stejini Escape 1

DSC_6360

Burudani ya ‘Mwanadaresalaam’ Ali Kiba.

DSC_6415

Watu wangu nao nd’o walikuwa MC’s wa shughuli yote.. Hapa ni Musa Hussein #Mwanadsm na Antonio Nugaz wa #KambiPopote @CloudsTV

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments