Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Bye bye England Staa wa Chelsea amekubali kumfuata Carlos Tevez Shanghai SIPG
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Bye bye England Staa wa Chelsea amekubali kumfuata Carlos Tevez Shanghai SIPG
Sports

Bye bye England Staa wa Chelsea amekubali kumfuata Carlos Tevez Shanghai SIPG

December 23, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Siku kadhaa zimepita baada ya staa wa zamani wa Man United na Juventus Carlos Tevez athibitishe kuwa anaondoka katika timu yake ya Boca Junior na kwenda kucheza soka China katika timu ya Shanghai SIPG.

Kiungo wa Brazil anayeichezea Chelsea Oscar imeripotiwa na kuthibitishwa na timu ya Shanghai SIPG kuwa atajiunga nayo mwezi January, imeripotiwa na BBC Sports kuwa Oscar atajiunga na Shanghai SIPG kwa dau la pound milioni 60.

LONDON, ENGLAND - OCTOBER 19: Oscar of Chelsea celebrates scoring his side's third goal during the Barclays Premier League match between Chelsea and Cardiff City at Stamford Bridge on October 19, 2013 in London, England. (Photo by Mike Hewitt/Getty Images)
Oscar

Oscar alijiunga na Chelsea 2012 akitokea International kwa dau la pound milioni 25, Oscar ameichezea Chelsea mechi 203 na amefanikiwa kuifungia magoli 38, imeripotiwa kuwa Oscar atakuwa akilipwa mshahara wa pound 400,000 kwa wiki.

i
Tevez

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

You Might Also Like

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

Gianni Infantino achaguliwa tena kuwa Rais FIFA.

FIFA : Uwanja wa michezo wa Pele mjini Kigali wazinduliwa rasmi.

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA December 23, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article FULL LIST: Majina ya washindi wa tuzo za Headies 2016
Next Article MSIBA: Mpigapicha maarufu Mpoki Bukuku afariki dunia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?